Natafuta ajira

Nenda makao makuu ya chadema wanaajiri vijana wa kutumika kwenye maandamano
 
Mkubwa ni vyema ungeweka wazi japo elimu yako,ujuzi/uzoefu wako ili wadau waweze kujuwa jinsi ya kukusaidia.
 
Mkubwa ni vyema ungeweka wazi japo elimu yako,ujuzi/uzoefu wako ili wadau waweze kujuwa jinsi ya kukusaidia.
 
kama una taaluma ya audio recording. Studio platnum Mafinga Iringa, studio mpya na ya kisasa inatafuta producer apply. namba ya simu 0754865777 au tigo ya 0655 namba hiyo hiyo. karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom