Nasumbuliwa na maradhi ya tumbo na tonsils mara kwa mara

Mtanzatozo

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
972
1,163
Ndugu zangu mm ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nina mke na mtoto mmoja, naombeni msaada wa kutatua haya maradhi yafuatayo kwa historia fupi hpo chini.

Mwaka 2017 nilipata maradhi ya tumbo, niliugua sana! Hospitali vipimo majibu yalikuja sina maradhi yte kuanzia kansa, vidonda vya tumbo na mengine. Kwa sku zote hzo niliendelea kutumia dawa za maumivu! Hatimaye nikapoa kabisa. Baada ya miezi mitano mbele niliugua tena tumbo kwa maumivu mara mbili ya awali, awamu hii majibu yalitoka nikiwa na henia ya kitovu kwa matokeo ya kipenyo kidogo sana. Wiki mbili mbele nikafanyiwa upasuaji mdogo wa kukifunga tena kitovu! Namshukuru mungu nilipona kabisa na skuumwa tena tumbo.

Mwaka 2018 nikaanza kusumbuliwa na tonsils kwa kipindi cha miezi mitano! Ikafikia kiasi cha kushindwa kula! Hvyo nayo nikafikia hkohko kwenye upasuaji wa tonsils! Cha kushangaza tatizo la tumbo bado linakuja mara kwa mara na matokeo sina maradhi ya tumbo, na bdo napata sana shida kooni.

Msaada jamani yyte nayejua tiba, ushauri
 
Mkuu Pole sana kwa hayo maradhi yako yanayo kusumbuwa kama vipimo vya hospitali havionyeshi kama unayo maradhi basi utakuwa una maradhi ya kiuchawi unatakiwa utibiwe ili uweze kupata kupona pasipo na kutibia utakuwa unaumwa kila siku kupona kwako kutakuwa ni historia .
 
shukran ndugu naomba mwongozo na taratibu! nijue najikwamuaje, ntashukuru sana
 
NDUGU ZANGU MM NI KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 29 NINA MKE NA MTOTO MMOJA, NAOMBENI MSAADA WA KUTATUA HAYA MARADHI YAFUATAYO KWA HISTORIA FUPI HPO CHINI.
MWAKA 2017 NILIPATA MARADHI YA TUMBO, NILIUGUA SANA! HOSPITALI VIPIMO MAJIBU YALIKUJA SINA MARADHI YTE KUANZIA KANSA, VIDONDA VYA TUMBO NA MENGINE. KWA SKU ZOTE HZO NILIENDELEA KUTUMIA DAWA ZA MAUMIVU! HATIMAYE NIKAPOA KABISA. BAADA YA MIEZI MITANO MBELE NILIUGUA TENA TUMBO KWA MAUMIVU MARA MBILI YA AWALI, AWAMU HII MAJIBU YALITOKA NIKIWA NA HENIA YA KITOVU KWA MATOKEO YA KIPENYO KIDOGO SANA. WIKI MBILI MBELE NIKAFANYIWA UPASUAJI MDOGO WA KUKIFUNGA TENA KITOVU! NAMSHUKURU MUNGU NILIPONA KABISA NA SKUUMWA TENA TUMBO.
MWAKA 2018 NIKAANZA KUSUMBULIWA NA TONSILS KWA KIPINDI CHA MIEZI MITANO! IKAFIKIA KIASI CHA KUSHINDWA KULA! HVYO NAYO NIKAFIKIA HKOHKO KWENYE UPASUAJI WA TONSILS! CHA KUSHANGAZA TATIZO LA TUMBO BADO LINAKUJA MARA KWA MARA NA MATOKEO SINA MARADHI YA TUMBO, NA BDO NAPATA SANA SHIDA KOONI.
MSAADA JAMANI YYTE NAYEJUA TIBA, USHAURI
Palepale (mahali) ulikopatia ugonjwa nenda katafute mganga wa kienyeji anaesifika eneo hilo, naamini utapona.

Zingatia ushauri wangu, maana yalinikuta kama yako nikazunguka kila mahali, mpaka niliporudi sehemu nilokuwa naishi kwa muda mrefu.
 
sasa kama hyo maeneo hamna mganga inakuwaje ndugu..
 
Mkuu Pole sana kwa hayo maradhi yako yanayo kusumbuwa kama vipimo vya hospitali havionyeshi kama unayo maradhi basi utakuwa una maradhi ya kiuchawi unatakiwa utibiwe ili uweze kupata kupona pasipo na kutibia utakuwa unaumwa kila siku kupona kwako kutakuwa ni historia .
Funga safar mpakA mpanda
 
sasa kama hyo maeneo hamna mganga inakuwaje ndugu..
Tafuta hata jirani na eneo hilo Mkuu.

Nilichomaanisha ni kuwa, uchawi unatofautiana, mchawi wa kabila A atakuloga tofauti na mchawi wa kabila B, na waganga wengine watakuangalia wajue umelogwa wasijue kukutibu, namna ya kukutibu wanajua vizuri waganga wa Yale maeneo waliokuloga wanapopatikana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom