Nasumbuliwa na hisia Kali za kila Mara yaani hamu za kufanya mapenzi

chaz beezz

JF-Expert Member
Nov 26, 2020
217
841
Moja kwa moja nizame kwenye mada iliyonileta hapa kiukweli no muda Sasa nimekua mtu wa kusumbuliwa na hisia za Mara kwa Mara yaan hamu ya kufanya mapenzi.

Kila muda hata Kama nimetoka kufanya mapenzi muda mchache uliopita lakin bado hamu ya tendo la ndoa itanisumbua kwa Sana kutaka kila Mara imefikia mpaka mpenzi wangu anaona Kama namsumbua kila mda Mimi kuhtaji tendo Kwan uwa nafanya nae Sana Hadi anachoka.

Nauliza hii imekaaje inaweza kuwa n tatizo kwa maana hata napokua bize na mambo yangu lakini bado Hali hii unipata ya kutamani tendo muda wote.

Naombeni ushaur wenu wakuu nifanyeje niishinde halii hii maana naelekea kubaya
 
Moja kwa moja nizame kwenye mada iliyonileta hapa kiukweli no muda Sasa nimekua mtu wa kusumbuliwa na hisia za Mara kwa Mara yaan hamu ya kufanya mapenzi kila muda hata Kama nimetoka kufanya mapenzi muda mchache uliopita lakin bado hamu ya tendo la ndoa itanisumbua kwa Sana kutaka kila Mara imefikia mpaka mpenzi wangu anaona Kama namsumbua kila mda Mimi kuhtaji tendo Kwan uwa nafanya nae Sana Hadi anachoka
nkauliza

hii imekaaje inaweza kuwa n tatizo kwa maana hata napokua bize na mambo yangu lakini. bado Hali hii unipata ya kutamani tendo muda wote
naombeni ushaur wenu wakuu nifanyeje niishinde halii hii maana naelekea kubaya
Hiyo kawaida tu tu
 
Majukumu yako ya siku nzima yakoje? Its like upo na loose schedule ndugu---Ikiwa boss amekutight, au clients wako wamekutight uwahudumie kwenye majukumu yako, whatever shule imekutight, aisee sioni hizo hamu zinakujaje---

Wewe ni wa kike au wa kiume? Ili tukupe ushauri wa kitabibu (ignoring all other factors)
 
wa kiume
 
Wa kiume ushauri pekee ni kutafuta kazi na kupambana kuboresha kazi yako iwe na clients wengi mazee.. Najaribu kuvuta picha.. Upo kwa kibanda chako cha MPesa---Una clients kadhaa.. Hesabu zinakuchanganya... Mtaji hautoshi unawaza kuuongeza...
Etc!
Muda pekee wa kuwaza mapenzi ni upo either barabarani kurudi home, au upo kitandani wakati wa kulala au wakati mwingine wa mapumziko..
Siyo muda wote!
Nitarudi kusoma maoni ya wadau
 
Moja kwa moja nizame kwenye mada iliyonileta hapa kiukweli no muda Sasa nimekua mtu wa kusumbuliwa na hisia za Mara kwa Mara yaan hamu ya kufanya mapenzi kila muda hata Kama nimetoka kufanya mapenzi muda mchache uliopita lakin bado hamu ya tendo la ndoa itanisumbua kwa Sana kutaka kila Mara imefikia mpaka mpenzi wangu anaona Kama namsumbua kila mda Mimi kuhtaji tendo Kwan uwa nafanya nae Sana Hadi anachoka
nkauliza

hii imekaaje inaweza kuwa n tatizo kwa maana hata napokua bize na mambo yangu lakini. bado Hali hii unipata ya kutamani tendo muda wote
naombeni ushaur wenu wakuu nifanyeje niishinde halii hii maana naelekea kubaya
Bila shaka kiumbe aitwaye Jini mahaba yuko ndani yako, Suala hili kalishtaki kwa Mungu!
 
Moja kwa moja nizame kwenye mada iliyonileta hapa kiukweli no muda Sasa nimekua mtu wa kusumbuliwa na hisia za Mara kwa Mara yaan hamu ya kufanya mapenzi kila muda hata Kama nimetoka kufanya mapenzi muda mchache uliopita lakin bado hamu ya tendo la ndoa itanisumbua kwa Sana kutaka kila Mara imefikia mpaka mpenzi wangu anaona Kama namsumbua kila mda Mimi kuhtaji tendo Kwan uwa nafanya nae Sana Hadi anachoka
nkauliza

hii imekaaje inaweza kuwa n tatizo kwa maana hata napokua bize na mambo yangu lakini. bado Hali hii unipata ya kutamani tendo muda wote
naombeni ushaur wenu wakuu nifanyeje niishinde halii hii maana naelekea kubaya
Kama ujaoa oa
 
Hio ya kutoka fanya hapohapo unataka tena Wanakufikisha vizuri kweli?????
 
Tangazo lako limefika sokoni. Kama wewe ni ke - DM, please!

Back
Top Bottom