Nasubiri kwa hamu maswali ya papokwapapo bungeni kwa Mtoto TAJIRI!!!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Sipati picha, kichwa kitakuwa kinamuuma kila akifikiria kuwa ataulizwaje! Nahisi atakuwa anayaomba majini yake yamsaidi Lissu asiulize swali! Urudishwaji wa Mashangingi roho inamuuma sana!!Ndugu mwana jf unadhani nini kitatokea? Je moyo wa mtoto wa mkulima aliyegeuka uzeeni na kuwa tajiri mkubwa unahangaikaje?Naleta hoja!!
 
hujaskia, kesho hamna maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu...wamempa muda ajiandae na hotuba.
 
hujaskia, kesho hamna maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu...wamempa muda ajiandae na hotuba.

Sijui kwa nini wamemuokoa. Si wangeacha atwangwe maswali achanganyikiwe afute jasho kisha atoe hotuba yake!!
 
Back
Top Bottom