Nassari umewauza wananchi wa Meru

MTOTO YATIMA

Senior Member
Jul 1, 2012
147
58
Binafsi nielee kusikitishwa na kitendo alichofanya Rafiki yangu na kaka yangu. Kama kweli dhamira yako ya ndani ni kununuliwa basi umetutia donda kubwa sana.

Kuna watu tulijitoa sana kwa ajili ya ubunge wako lakini wewe umekua hauambiliki, umefanya PhD ni kweli lakini hiyo ni kwa ajili yako na familia yako siyo kwa ajili ya jamii ya Meru.

Umeshindwa kwa kiasi kikubwa kuwaletea wana Meru mabadiliko ambayo tuliamini kwa wewe tungeyapata. Haya sasa sasa hivi tumeanza kujadili kwenye magroup ya WhatsApp nani asimame agombee ubunge Arumeru.

Nassari umeanza siasa ukiwa mdogo na umepanda kwa kasi nzuri lakini umejisahau umeishi Maisha ya wanasiasa wanaotaka kustaafu siasa. Achana na siasa fanya mambo mengine; you are still my brother

CHADEMA imeshapoteza nafasi yake kwa Arumeru na chanzo chake ni wewe. Kuna damu italia juu yako mana kuna watu walitoa uhai wao na damu yao ili iandike mabadiliko Arumeru na wewe ukapewa dhamana ya kuongoza mabadilio hayo.

Kama umenunuliwa umekosea na kuna laana utabeba ukiaminiwa na watu unatakiwa utune Imani yao kwako ndani ya moyo wako naamini kabisa tulikupigia kura na ukashinda kwa sababu ya CDM na siyo kwa sababu ulikuwa na sera nzuri

Naomba jitafakari
 
Kijana amecha na kutelekeza jimbo kwa sababu zisizoelezeka!! Amewafanya watetezi wa mabadiliko wawe na kigugumizi katika kumtetea. Hakika mimi ni mmoja wa watu wasioamini ni nini kilimpata kipenzi cha wanameru. Ameshindwa walau kuakisi ushujaa wa Kirilo Japhet (Mtanzania wa kwanza kusimama UN ili kuitetea ardhi ya Wameru).
 
Amewauza wananchi wake bei sawa na bure aka bei chee...vijana bwana wanawaza vitambi vya mda mfupi wakati wenzao wamelea matumbo yao mda mrefu hadi yakageuka vitambi. Mambo taraatiibu....slow.... slow (in wahindi voice)
 
Hizi Phd za siku hizi ni zaidi ya Vituko? Heti Nassary nae ana Phd.


Wengine ametumia lugha ya Kiingereza kusomea Phd na ameipata ila hawezi kuunganisha walau sentensi mbili kwa kiingereza
 
Ndio, alikuwa Amerika...!
Yes, He Was in America...!
Attending a very urgent matter, than this,
You Call,
Political Responsbilities,
And then,
Back to America,
What is Arumeru ?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom