Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
kwani leo kashinda nani??? mie huwa naipenda ile inayoshinda siku hiyo tu
Wife ataenjoy,husb yeye anafanyia hasira,lazima afunge magoli mengi kulipisha,hahahaha imagine the gamena wife wako ni yanga? Utalijua jiji leo!
jamani eh,we kama ni aseno na yanga fanya chap chap tukutane hapa mfaranyaki tufurahi, tusherekee,tugalagale.
Ps: mi niko na mama Kayai kwa hiyo Bebii usije.
Kwa Yanga umepatia. Arsenal Mhhhhhhhh!