nasikitika kutangaza

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,254
12,872
hali zenu wanajamvi, kwa majonzi mazito nasikitika kutangaza kuwa ntakuwa naonekana jamvini kimachale cos nimepigwa ban na ofisi kutotumia internet ktk ofc hiyo. kiukweli ntawamis, hasa ntakachomiss ni avatar na picha za babu Asprin, mzee Mtambuzi na dedication za BAK zile anazopost via youtube. nilisikia madame gfsonwin kaweka avatar nzur bahat mbaya sijapata access ya comp so sijaiona.pia like zangu zitakuwa adimu km za flan,so mtaniwia radhi. nipatapo access ya comp ntawapa malike ya kufa mtu!
 
Last edited by a moderator:
Welcome to my world.
You will survive. Ila tukiwabalasa wanaoomba ushauri juu ya mahusiano ambayo hayahusiani uwe unatokelezea eeh!
 
pole mwaya ama bosi keshajua una visit jamvini? mwaya nimweeka avatar ya picha yangu halis nilipokuwa nimekwenda for short course nchini senegal na nimemshangaa Mtambuzi kaenda kuiiba kule face book.
 
Last edited by a moderator:
yaani sasa hivi ataweza kuwatambua watu si kwa avatar tena bali kwa miandiko.

Mie nshazowea.

Welcome to my world.
You will survive. Ila tukiwabalasa wanaoomba ushauri juu ya mahusiano ambayo hayahusiani uwe unatokelezea eeh!
 
umepewa ban kwa sheria ipi?

hiyo office hata email hamtumii?

yan we acha tu, ni kwamba hairuhusiwi kutumia internet tofauti na outlook pekeyake. walimleta mtu wa it akaondoa ile icon ya internet. so siwez pata access ya internet via that comp. n-way ntajitaftia kalaptop hata ka mia 5 elfu
 
hali zenu wanajamvi, kwa majonzi mazito nasikitika kutangaza kuwa ntakuwa naonekana jamvini kimachale cos nimepigwa ban na ofisi kutotumia internet ktk ofc hiyo. kiukweli ntawamis, hasa ntakachomiss ni avatar na picha za babu Asprin, mzee Mtambuzi na dedication za BAK zile anazopost via youtube. nilisikia madame gfsonwin kaweka avatar nzur bahat mbaya sijapata access ya comp so sijaiona.pia like zangu zitakuwa adimu km za flan,so mtaniwia radhi. nipatapo access ya comp ntawapa malike ya kufa mtu!
pole sana charm ila usijali
take this....................................................................

So sad but you have ma li............................................................................................................................
 
Last edited by a moderator:
Pole mwaya! Nunua laptop utumie nyumbani jioni. Mie nauza used form usa, imetumika kwa muda mfupi.
 
pole mwaya ama bosi keshajua una visit jamvini? mwaya nimweeka avatar ya picha yangu halis nilipokuwa nimekwenda for short course nchini senegal na nimemshangaa Mtambuzi kaenda kuiiba kule face book.

Hivi kumbe ni picha yako halisi? you are so cuteeee.
na kule fb unatumia jina gani vile?
 
pole sana charm ila usijali
take this....................................................................

So sad but you have ma li............................................................................................................................

asante rutta, hzo desh zina maana gani? kama umenitumia picha siwezi kuona make natumia cm!
 
nipe password yako niwe nakusaidia kupost yaliyo moyoni mwako na kutoa malike
 
pole mwaya ama bosi keshajua una visit jamvini? mwaya nimweeka avatar ya picha yangu halis nilipokuwa nimekwenda for short course nchini senegal na nimemshangaa Mtambuzi kaenda kuiiba kule face book.

upload2world_27317.jpg

Terrence-J-153x153.jpg

Nakuona hapo juu ulivyopendeza....................................LOL
 
Back
Top Bottom