sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Moja y sifa nzuri ya mwanahabari ni kusoma uwezi kuwa mwanahabari mzuri upendi kujisomea.
Uwezi kuwa mtangazaji mzuri ambae upendi kusikiliza vyombo vingine vya habari
Sasa najiuliza kweli Leo ni siku ya nane nane kitaifa, na kitaifa unafanyika mkoani mbeya uwanja wa mwakangale.
Mtangazaji WA redio free Africa anajua Leo ni nane nane na kitaifa inayika mbeya na anataja mahali inapofanyika lakini hajui mgeni rasmi ni Nani anae funga maonesho hayo.
Huyo mtangazaji ni WA kiume,yaani ameingia studio hajui hata Rais WA nchi Jana amelala wapi?
Nauliza ule mswada WA habari ulio taka walai mwanahabari awe na diploma ulitupiliwa mbali au ndo hiyo Sheria ilipitishwa na kilaza msimamia vilaza?
Hii no aibu Kwa taifa.