Nashindwa kurudisha moyo kwa mpenzi wangu baada ya kurudiana

pascal luoga

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
232
257
Wakuu habari zenu..
Poleni sana na majukumu
Napenda kuandika ujumbe huu nikiwa na akili zangu timamu..tupo kwenye kushare mawazo kama vijana..

IKO HV
Nina mrembo mmoja ambayo nimesoma naye chuo since 2 years ago na tumemaliza mwaka jana wote pamoja...

Huyu manzi alikuwa ni mgeni pale chuo dodoma na mimi ndiye alikuwa rafk yake wa kwanza kabisa pale chuo cause alikuwa ananiganda sana, kwa bahat nzur sikuwa na mahusiano yoyoye kwa wakati huo nikasema hii ndo bahat imejileta yenyewe nikatupia nanga mtoto akakubali tukawa na mahusiano, Tulikaa mda mref sikuwai kuse× naye na alikuwa ananiambia kuwa yeye ni bikra anataman nifanye naye hicho kiti cause anataman kujua kikoje (kwa maelezo yake) nilikuwa naumia cause nilikuwa bado niko kwa wazazi na yeye huwa hataki kwenda guest but alizidi kunipenda zaidi yani mapenz yalipamba moto.. ilifila kipnd ghafla nikaona kama amepunguza upendo kwangu sababu tulizoea kurud wote ila akawa mda wa kurud ukimwambia anakwmbia anataka abaki kusoma so nikawa namwacha naondoka mwenyewe,pia sometime message akawa anajibu kwa kuamua mara ajibu mara akujibu mkato, me nikajiongeza nikaona hapa sipendwi tena wameshamshika masikio bc niliumia ila ikafika time nikaamua liwalo na liwe nikakata mahusiano pasipo kumwambia yaani sms sijibu,sina stort naye kiufupi nafanya yangu mda huo tulikuwa bado tuko chuo. Rafiki zangu walinishaur mda mref niachane naye ila sikusikia cause nilimpenda sana na ndo nilipanga awe mama watoto wangu hapo baadae but nikasema ngoja tu nipige chini.

Siku zilienda akaanz kujirudi kujenga mazoea na mimi ikifika mda wa kuondoka ananifuata twondoke wote me namwambia kuwa nabaki siondoki bac atanisubir hata kama ni mpka saa2 usiku, sometime huwaga sina ratba yyte ila tu namwambia nabaki kusoma, kila ninapoenda anataka tuwe ote me nikawa nashindwa kumwelewa kuwa nini kimemrudisha kwangu ikafika time naona anazid kunipenda zaidi ( kumbuka kwamba tunda sijala na sina hamu nalo kabisa kwa kutokana na mambk yake) bc ikaenda upendo ulizidi but me nilikuwa nachukulia kawaida cause alishaniumizaga..

Ikafika time tumemaliz chuo nikasema nimnyandue......siku ya kwanza namnyandua sikukuta bikra kama alivyosemaga awali.

Mpaka leo ni mwaka wa 4 ninamahusiano naye ananipenda kupita maelezo..
-Simu yake nashika mda wowote niutakao
-account zake zote za mitandao ya kijamii mimi ndo naziendesha i mean kanipa passward zote hvyo nafungua mda wowote niutakao
-Mitandao ya kijamii yote anatumia jina langu. Mfano...(Kidawa pascal) ingawa sio jina husika ni mfano tu hapo
-Kuniomba ela anaona aibu mpka sometime namuuliza kwamba hunaga shida ananijibu anaogopa ingawa yuko home hafanyi kazi yoyote huwa namtumiaga nikijiskia
-Mzigo nakula mda wowote ninaohitaji sikuwai kupigwa kalenda wala kuliwa nauli, nikichat naye mchana jion yuko gheto
-Anasema nikimuacha atajiua na last month alikuta sms kwenye simu yngu alilia nikambembeleza yakeisha akarud kwao siku ya pili napigiwa simu yuko hospital nimekuta kawekewa dreep na wamepima tatzo hana wakasema wamuongezee tu maji mwilini.

LICHA YA YOTE HAYA ANAYOFANYA ILA ME SIJAWAI KUMPENDA TOKA MOYONI
ILA Ni CUTE. cause chuo walikuwa wanesema kwamba katika warembo yeye ni No.1 alikuwa anajulikama hvyo kwa pale chuo..

KINACHOFANYA NISIMPENDE HUYU MREMBO NI KWAMBA KINAWEZA ONEKANA CHA KIJINGA ILA HUWA TUNATOFAUTIANA WAKUU
1.Aliniambia ni bikra ila sikumkuta hvyo swali ni je aliingiliwa kabla ya kuanza chuo ila aliamua kuniongopea au aliingiliwa akiwa chuo?? Na kama ni chuo bc ni alinicheat cause nilianza naye mahusiano mapema sana pale chuo na hakuwa na mazoea na mvulana mwngine yoyote kipindi hicho alianza nao mazoea baadae sana na ndo kipindo ambacho alikuwa hanitaki

2. Alikuwa hanitaki kabisa bila sababu yoyote yaani sikumuumiza wala mcheat ila tu alianz kunichukia na miez kadhaa mbele akarud kunipenda bila sababu yoyote pia.

Huwaga natamani kupotezea ila tu hivyo vtu vinanifanya sometime namkumbuka matendo yake mabaya yote aliyonifanyia najikuta namchukia, hapa ninavyotype kuna missed calls zake 6 za muda huu ila tu najikuta simkubali asee....

Naombeni ushauri juu ya hili wakuu

NAOMBENI POSITIVE ADVICES
MSINIPOPOE
AGE NI 24-28

Nifanyaje juu ya huyu mtu ili japo moyo uweze kurudi kwke.
 
Swala la bikira imetokea lini ni vizuri ukaongea nae kumuuliza mbona alichosema hukukuta, ila Uliza kwa umakini maana ataona pia ni Visa unataka kumuacha tu sababu kosa kubwa ulilofanya ni ulipoikosa na ukakaa kimya

Inawezekana wakati alipokuacha alipata raia akabonya akatoa bikira then akaumizwa moyo aliporudi ulipompokea akaona ni funzo kwake ndio maana akarudi na miguu yote miwili hataki kusikia mwingine

Ila katika yote mkuu kama ni swala la kumuoa bikira sio kigezo maana watu hubadilika kiongozi, kama anakupenda na ww unaweza kusahau yote yaliyotokea ukatengeneza maisha na mtoto mzuri
 
Mtu muongo muongo sio kabisa.

Hapo kuna mawili kipindi alichokukwepa ndiko aliparamiana na mtu mwingine huko. Akapigwa chini then amerudi kwako. Hamua mwenyewe.
Unaweza kumpenda mtu kweli mwanzo ila akakufanyia jambo likamshusha thamani kwako bila yy kujua hata kama mahusiano yakiendelea.
 
Uzi umejaa Utoyiii mtupu!
 
Mrudie kwa moyo wote hata kama atakuwa alikukosea , kwa jinsi alivyo kwako kwa sasa mpe nafasi moyoni mwako. Amekuamini nawe muamini.
Labda nikwambie jambo , BIKIRA zingine zinatoka zenyewe kutokana na kazi nyingi, na nk.
Huyo anakupenda kweli .

Labda nikuulize swali, huyo shemeji ni mwenyeji wa mkoa gani ?
 
Swala la bikira imetokea lini ni vizuri ukaongea nae kumuuliza mbona alichosema hukukuta, ila Uliza kwa umakini maana ataona pia ni Visa unataka kumuacha tu sababu kosa kubwa ulilofanya ni ulipoikosa na ukakaa kimya

Inawezekana wakati alipokuacha alipata raia akabonya akatoa bikira then akaumizwa moyo aliporudi ulipompokea akaona ni funzo kwake ndio maana akarudi na miguu yote miwili hataki kusikia mwingine

Ila katika yote mkuu kama ni swala la kumuoa bikira sio kigezo maana watu hubadilika kiongozi, kama anakupenda na ww unaweza kusahau yote yaliyotokea ukatengeneza maisha na mtoto mzuri
ushauri mzuri huu boss..
 
ukimuuliza hayo maswali ukipata majibu chuki yote itaondoka utakua na amani sana chief. muulize hayo maswali yako mawili yanayokutatiza ujifanyie wepesi.. unaubebesha moyo wako mzigo ambao hauna benefit yoyote, unaichosha tu akili.
 
Kwakuwa umesema tusikupopoe, basi Mimi nitaakupopolesha

Km hivo viwili vinakuumiza ukikutana na mwenyew vitisa +je?

By the way ukimuacha na usipokuwa na roho ya kusahau utaangukia single mamy ili mshee na upopoe vzuti.
 
Hivi mkuu unataka umuache mwanamke anayekupenda uende wapi?nadhani ww ni mgeni kwenye hii dunia ya mapenzi na ole wako umuache huyo mwanamke hakuna rangi utaacha ona,wewe endelea kuichezea hiyo bahati tu siku akiondoka maisha mwako ndipo utakapojua ulikuwa unamiliki almasi.
 
Back
Top Bottom