Nashauri uongozi wa simba sport club, usipeleke timu uwanjani tarehe 20/4/2024

Hivi kwani hatuwezi kusingizia msiba mzito kwa mfano tukachukua jeneza tukamweka hata zimbwe sisi hao mochwali then ikifika usiku tunautangazia umma kuwa zimbwe kafufuka na hakuwa amefariki ila alikua mahututi tuu ili tff wasogeze mechi mbele
 
Mimi nawaombea tu muingie tena kwenye ule mfumo wa Yanga hiyo tarehe 20. Hakuna kitu kingine ninawaombea ndugu zangu.
 
Hivi kwani hatuwezi kusingizia msiba mzito kwa mfano tukachukua jeneza tukamweka hata zimbwe sisi hao mochwali then ikifika usiku tunautangazia umma kuwa zimbwe kafufuka na hakuwa amefariki ila alikua mahututi tuu ili tff wasogeze mechi mbele
Au hata tuwawekee wachezaji dawa waharishe mwanzo mwisho
 
Game za simba na yanga hazipo hvyo kwahyo usiogope kiongozi
Kwa siku za karibuni zimekuwa zinatabirika
Game za juzi tu ilionekana kuwa simba inaenda kufungwa ndio maana mashabii hawajaangaika
 
Hivi kwani hatuwezi kusingizia msiba mzito kwa mfano tukachukua jeneza tukamweka hata zimbwe sisi hao mochwali then ikifika usiku tunautangazia umma kuwa zimbwe kafufuka na hakuwa amefariki ila alikua mahututi tuu ili tff wasogeze mechi mbele
Kwani ile ya AZAM mlifanya hivyo?
 
Hivi kwani hatuwezi kusingizia msiba mzito kwa mfano tukachukua jeneza tukamweka hata zimbwe sisi hao mochwali then ikifika usiku tunautangazia umma kuwa zimbwe kafufuka na hakuwa amefariki ila alikua mahututi tuu ili tff wasogeze mechi mbele
Hili wazo limepita...mkuu ,tufanye hivyo....
 
Back
Top Bottom