Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 2,754
- 5,838
- Thread starter
- #121
Vita ya ukatili wa watoto au vulnerable group yoyote sio ya wizara moja tu.Mayor ache kuiongopea jamiii ya watanzania wazalendo chakufanya wewe pambana na ukatilii ili jamiii yako au yetu Iwe salamaView attachment 2371456
Ili uweze kupambana na hayo mambo inataka joint strategic plan ya kila halmashauri inayohusisha professional wote (walimu, polisi, hospital, ustawi wa jamii, viongozi wa mtaa to name a few).
Hao watu inabidi wawe na team, methods of sharing information, doing investigation, effective team working (kuna inter proffesional working kila muhusika anatamaduni za kufanya kazi kutokana na organization aliyotokea) mazingira kama hayo yana leta proffesional rivalry and so forth.
Kufikia tu hayo malengo unahitaji a lot of investment kwenye it system, training ya wahusika, and consistency kwenye kuchukua hatua na kutoa adhabu. Uwezi kumfunga mtu mmoja maisha kwa kulawiti minor, mwingine apewe adhabu ya viboko sita kwa kosa ilo ilo.
Hiyo ni robo ya vita, robo tatu ni media propaganda na hiyo inataka mtaalamu ambae anaelewa propaganda za west kwenye ku shape national thinking.
Sijasikia bado kiongozi ata mmoja anaeongea right tone ya kuweza kutatua hilo tatizo ata robo wanaunga unga tu.
Intervention ya hilo swala ni complex and propaganda za vitisho ndio silaha kubwa kuliko kitu chochote supported na adhabu kali ambazo ni consistence.