Naseeb Abdul (Diamond Platinumz), akaliwa kooni na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

yani na ambavyo sijui utaratibu wa kodi wala sielewi kinachoendelea..
hivi ni wasanii wote wa muziki huwa wanalipa kodi kama hiyo anayozungumziwa kwa platnamz
 
Very sad,kwa nini km hatulipi,then tusilipe wote,na kama tunalipa tulipe wote?????
 
Diamond atakomaje?alipe kodi,awalipe babu tale,Salaam na mkubwa Fella,awalipe madancers zaidi ya 10,amlipe kifesi,amlipe romy,amsomeshe mtoto wa Esma,amlishe Esma na mama yake,bado na Zari anasubiri big money,pole sana Diamond

Hizi zote umezitoa wapi?
 
Jamani si msubiri haukumiwe? Nani kawaambia halipi ushuru sababu mmeona hiyo barua? Kama kuna kilichokosewa huko ofisini au ndio njama kama kwa za kumchafua mtajuaje na watanzania wazima kushadadia bila subira? wwengi wivu.com umejaa

Na mlio like picha ya barua ndio inamaanisha mnafurahia kuona mwenzenu katumiwa maulizo juu ya Tax, yaani great thinkers(sijui kweli) kibao kudandia bila kusubiri hukumu, utadhani anajua nini amekosa kabisaaaa duh.

mume mtatulia, kwa chochote tusubirieeeeeee sio kusherekea

ni mie mdau
 
Jamani si msubiri haukumiwe? Nani kawaambia halipi ushuru sababu mmeona hiyo barua? Kama kuna kilichokosewa huko ofisini au ndio njama kama kwa za kumchafua mtajuaje na watanzania wazima kushadadia bila subira? wwengi wivu.com umejaa

Na mlio like picha ya barua ndio inamaanisha mnafurahia kuona mwenzenu katumiwa maulizo juu ya Tax, yaani great thinkers(sijui kweli) kibao kudandia bila kusubiri hukumu, utadhani anajua nini amekosa kabisaaaa duh.

mume mtatulia, kwa chochote tusubirieeeeeee sio kusherekea

ni mie mdau

Yaani kweli wengi no subira
 
Sheria haiko hivyo:

Kama kuna watu au wasanii wengine hawalipi kodi, hiyo haimpi haki ya Diamond kutokulipa kodi.

Kila mtu anawajibika kulipa kodi, Ni mwanzo mzuri TRA wanatekeleza wajibu wao. Na ni imani yangu wataendelea kwa wasanii wengine na watu wengine ambao hawajalipa kodi kuwafatilia.

mwalimu tu kijijni analipwa 250,000 na bado analipa kodi, kwanini Diamond anayeingiza mamilioni asilipe kodi?
 
Hawa jamaa ni loosers wanatia aibu walikuwa wapi siku zoote hizo. Kuna misamaha ya kodi mikubwa kuliko mapato ya Diamond. Huku nyumba za ibada hatushangai wakaanza kudai misikiti na makanisa kodi za sadaka. Wafadhili wamejitoa kutoa fedha sasa wana haha.
Una mentality ya kukwepa kodi wewe.
Na ndilo tatizo la watanzania, wengi wanafikiri kwa vile kipato chao ni kidogo basi "watalipiwa" maendeleo yao na watu wengine.
Kodi hata ikiwa ndigo namna gani ndiyo pato la taifa hilo, na watu wadogo wakiwa wengi mapato lazima yawe makubwa.
 
Vitu vingine kama hamjui kaeni kimya tu ahahahahaha duuuuh. Umenivuja mbavu
MKUU I KNOW TAXATION IN AND OUT
SECTION 4 OF ITA IS THE CHARGING SECTION
SECTION 4 (a) INCOME TA IS CHARGED AND PAYABLE FOR EACH YOI BY EVERY PERSON WHO HAS TOTAL INCOME FOR THE YEAR OF BUSINESS

JE DIAMOND HANA TOTAL INCOME?
 
Nafikiri issue sio Kwanini Diamond asilipe kodi, kila mwananchi anaepata Income ni lazima alipe kodi. Issue kwann Diamond, kwann tasnia ya muziki ambayo ndio inaanza kukua kwa kasi. Kwanini TRA isingeanza na watu wenye utajiri ambao hauwiani na kodi walizolipa TRA, kwanini haikuanza na wanasiasa na watu wa fani zingine?? Kwann haikuanza na wafanyakazi wa TRA wenye utajiri wa kupindukia?? Nafikiri kuna Siasa zaidi ya kodi. Revenue leakage nyingi sana kuliko kumrudisha nyuma huyu dogo. Wangetoa elimu kwanza kwa hawa wasanii kwani wengi wao hawaijui sheria ya kodi ya mapato sababu wengi wao darasa la saba.
Sheria ya kodi iko hivi, Ni wajibu wako kuilipa kutokana na mapato yako iwe kazi au biashara na unapoona wako kimya sio kwamba wanakuacha au wamekusahau, hapana kuna siku tu watakurudia na kukudai pesa yao hata kama iwe imepita miaka 100...Ni wajibu wako kulipa bila kushurutishwa kama vile wafanyavyo walioajiriwa..Hata huku unyamwezini watu huwa wanasahauliwa but siku wakikumbukwa ndio hapo unasikia Tyson/Snipes wamefilisika au wamefungwa na malimbikizo ya kodi walijisahau kulipa.Ni baada ya miaka mingi watoa ushuru wanadai chao!!! Muulizeni David James pamoja na kua aliidakia England kwa miaka mingi kodi imemfilisi kabaki maskini..Tuweke tabia ya kulipa kodi bila kufuatwa na TRA.Mameneja wake walitakiwa wayajue hayo its not a rocket science!!
 
yani na ambavyo sijui utaratibu wa kodi wala sielewi kinachoendelea..
Hivi ni wasanii wote wa muziki huwa wanalipa kodi kama hiyo anayozungumziwa kwa platnamz
ni kwamba kwa sasa wasanii wanasajili kazi zao ili kupata stika, na ili upate stika lazima uende basata, cosota usajiliwe then unapokuwa unauza kazi yako inakuwaa na stika ya tra, so stika kuwa nayo lazima uwe na tin ya biashara, in case wakitaka kukukadiria kodi wataanza na kuona wamekupa stika ngapi let say stika 1000, wanaamini kila kazi umeuza kwa 5000, so mapato yako ni 5000,000/- kama hujauza zote utatoa uthibitisho wa stock iliyopo, katika hiyo income watatoa matumizi ambayo yanatumika whole and exclusive kuzalisha kazi hiyo, baada ya hapo watahesabu show ulizopiga kwani aliyekupa show inapaswa akukate 5% ya with holding tax, akikata anasubmit tra then wanaamini ile iliyobaki still unayo itakuja kuwa subjected to tax kwani withholding kwenye service ni non final
 
MKUU I KNOW TAXATION IN AND OUT
SECTION 4 OF ITA IS THE CHARGING SECTION
SECTION 4 (a) INCOME TA IS CHARGED AND PAYABLE FOR EACH YOI BY EVERY PERSON WHO HAS TOTAL INCOME FOR THE YEAR OF BUSINESS

JE DIAMOND HANA TOTAL INCOME?

Wala usifike huko mkuu.. Nini maana ya TIN?? Hapo ndio ulipojikoroga
 
JF nowdays imekuwa source nzuri sana ya mambo ya kizushi.
Hili sakata la kodi TRA wamekanusha, pia hata Diamond amekanusha kutopokea taarifa yoyote iwe kwa njia ya simu, email au maandishi!!

Source Mwananchi newspaper.
 
Serikali dhaifu hufukuzana na machinga kudai kodi huku ikiwaacha wafanyabiashara wakubwa wakitesa. Sasa Sethi na Diamond ni yupi wa kukabwa koo?

Kila anayeingiza kipato shurti alipe kodi haijalishi ni nani
 
Tra wakamrukia daimondi bwana.. Kidaimondo cha watu hahah kumbe kule bandarini mijitu inapiga pesa hahahah
Lipeni kodiiii
 
Back
Top Bottom