Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,141
In short diamond anastahili kulipa kodi kama watu wengine. ?Ila suala la kodi ya nyuma wangeipotezea tu maana mtu mwenyewe amezungukwa na watu ambao hawawezi kumshauri katika haya mambo. Mameneja wote hakuna mwenye elimu zaidi ya form four sasa haya mambo atayajulia wapi? ?Kwa level aliyofikia dogo anahitaji financial andiser lasivyo kuna siku atapoteza kila alichonacho. Mfano hayo mambo ya kodi usipokuwa makini nayo unaweza ukakuta unapoteza mali zote ulizochuma pale TRA wanapoamua kukufilisi kufidia kodi wanayodhani wanakudai. Na ishu imeshafika kwa Tax investigation ina maana watamkadiria kodi yote ya nyuma. Apewe tu msamaha na apewe onyo ili next time ajue kabisa anachofanya ni ukwepaji wa kodi na ni kosa ila sijui kama ni la jinai au.