Naseeb Abdul (Diamond Platinumz), akaliwa kooni na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Hapa ni kariakoo nikiwa nafata mauzo ya nusu siku

Na hayo ni baadhi ya makusanyo, nikukumbushe nimetoka ofisini for lunch

Haaaaaaaaah Hii ni zaidi ya ndimu👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👊👊👊👊👅👅👅👅👅👅👅👅👄👄👄
 
Haaaaaaaaah Hii ni zaidi ya ndimu👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👊👊👊👊👅👅👅👅👅👅👅👅👄👄👄

Tatizo lenu wengi ma jobless, mmemaliza chuo mnashinda jf, embu pitia hata threads zangu uonr baadhi ya kazi nilizowatangazia na wengine nimewaajiri
 
Uonevu na wivu wamekosa mahali pa kupata mapato hadi wamfuate diamond? Hivi wale waliovuna escrow wamelipa kodi? Mbona wanapenda kufukuzana na vitu vidogo sana mambo muhimu wanayaacha!
 
Mshahara unatokana na demand iliyopo ya wafanyakazi na response to that salary sasa kama raia unatakiwa ujue unapolenga wanalipa vipi, isitoshe uwekewi bunduki kichwani kwenda kazini; jinsi utakavyo tumia baada ya mshahara wako itatokana na mipango na jinsi unavyo ji-budget uwezi kwenda kazini kisa mshahara umeisha katika ya mwezi sio tatizo la mwajiri.

Ndio maana kuna makundi ya kimaslahi (mfano TUCTA) ambao kazi yao ni kupambana na serikari kuangalia 'real wages' in relation to cost of living and if the wage is growing with inflation. Sasa kama wahusika awafanyi kazi zao na wewe ni member unaechangia katika posho zao imekula kwako na lazima watu watafute namna za kusimamia maslahi yao iwe kuhusu ukubwa wa kodi au mishahara wanayolipwa tukianza mijadala hii tutakuwa tuna discuss siasa za sera sio hadithi za kutaka kuwekewa sumu na TISS ndio upewe kura uo ni utapeli.

Hali kadhalika on the same lines of reasoning msanii au serikari inapotaka vijana kujiajiri lazima izingitie vitu muhimu katika kuwawekea mazingira ya ushawishi wa kujiajiri, sasa dancer kama awezi fanya mazoezi au hana hela ya kwenda into the next audition how long before he becomes jobless? Au msanii hana mahali pa kuishi, awezi lipa ada za shule za wanwe au umpi wigo la kulipa kodi kama kaamua kukaa mbezi beach kisa kuongeza profile ya umuhimu wake wa kazi na wewe unadhani kiasi fulani ndio stahili uoni kama unaaribu sector, hiyo ndio mantiki ya watu kupewa kwanza nafasi ya kufanya self assessment of course serikari inatakiwa kujua how much this person has earned na aangalie matumizi yake na ushahidi wa resiti, ni hivi maswala ya kodi ayataki kubahatisha yanataka procedure zinazoeleweka at every sector sio a universal rule of thumb, tena ya kuchagua wapi twende.

Sikatai diamond anatakiwa kulipa kodi lakini lazima tuwe na mifumo inayo fahamika sio hizi taratibu za kuchagua makosa yale yale nani apewe adhabu nani aachwe au aina ya sanction tofauti kwa kosa moja this is not a consistence way of dishing justice or running a government.

Kama hakuna taratibu wajipange waandae framework kuanzia muda fulani itaanza kutumika na walengwa wafahamu obligations zao kwa TRA lakini sio hizi tabia za uonevu it is not right morally. Kesho wakiona watu wamepewa hela za escrow utasikia wanadai kodi ina maana wengine awapewi hela mbona kodi awalipi this is stupid way of doing thing to say the least and lacks elements of consistency. It is cherry picking procedures that I am against kuliko nadharia zenyewe.

Nimesoma comment zako nadhani unaijua sheria ya kodi vizuri hapo mtu akubishie kwasababu anapenda ubishi ila chamsingi mwelimishe bila ghazabu ataelewa tu
 
Mkuu Tyta pengine ujanielewa nilicho andika hapo au ninacho maanisha! Una hakika wasanii wote wanalipa kodi? linaweza likaleta mkanganyiko kama Diamond pekee ndio atakuwa ana daiwa kodi!

....tatizo la ukwepaji kodi ni suala la dunia nzima,utofauti ni ukubwa /udogo wa tatizo mahali husika.Tanzania ikiwa miongoni mwao.Ni dhahiri si yeye pekee,Lakini je,tunaweza justify hayo kwa kuwa kuna wengine hawalipi?..cha msingi,msumeno huu ukate kotekote..
 
Sielewi vizuri mambo ya kodi lakini kidogo ninachojua watu wanaolipwa mpaka TSh.180,000/- wanakatwa PAYE.
Pia nimesikia siku za karibuni huko mjini nasikia TRA imeingilia kati kazi za wasanii katika kuwasaidia kutokana na wale wanaorudufu kazi zao bila wao kujua (illegal market/black market) na inawekea stickers kila kazi ya masanii ili nao wafaidike kimaslahi.
Na niliwahi kusoma hapa kuwa huyu diamond kiwango chake cha chini kufanya onyesho ni US $20,000 na mara nyingine hupata zaidi ya hapo. Na hakuishia hapo bali nilisoma hapa kwa alisema kwenye mahojiano na redio moja kuwa ana kama billion 1 bank na mali zisizohamishika za kutosha.
Hata magari anayomiliki na aina ya maisha anayoishi ni wazi huwezi kumfananisha na wasanii ambao wanaishi kwenye chumba cha kupanga.
Na niliwahi pia kusoma hapa kuwa Dr. Mwakyembe wakati amechachamaa na wauza madawa ya kulevya alimtaka Diamond kutoa maelezo ili kuondoa shaka kama kweli kipato chake ni kisafi na hakihusiani na kuuza unga.

OK, kama na TRA waliyafuatilia haya nadhani wana haki ya kufuatilia mikataba yake pia ili kujiridhisha kuwa nyingi ya habari kumhusu huyu bwana mdogo ni uzushi. Lakini kama anaendesha gari aina ya X6 inayokadiriwa kufikia thamani ya 120m huku mfanyabiashara wa samaki hapa kisiwani mwenye kipato kisiochozidi 35m akilipa kodi zaidi ya 7,000,000/- kwa mwaka basi TRA wana haki ya kujua na hata naye kuchangia hazina maana pesa zake zinatokana na wananchi hawa hawa.
 
Wangekuwa wanakomaa kudai kodi kwenye madini,tungekuwa mbali,sasa diamond wapi na wapi,au kakataa kuwapigia kampeni nini.
 
Okay, 2008....not really at the height of his career.

And I'm still not convinced in 2008 he commanded a whopping $300,000 plus fee for a show.

Halafu walivyoi-diss JNIA daah!


Ngabu una ubishi mno sometimes
now Jay z analipwa a million dollars per show
Kanye hadi dollar laki 6
sijui why hutaki kuamini 50 at the height of his career alilipwa dola laki 5
tazama link hii ya mwaka 2014 50 analipwa dola laki 3

Find Out What Your Favorite Rapper Charges Per Show - XXL
 
Si bure huyu kuna kitu kagombana na CCM..

Sidhani.
Serikali/TRA inafanya haya kwa kukaba watu au mashirika yanayoweza kukatatika kirahisi.

Alivunga kuunga mkono ccm.

swissme


Hamna kitu.

TRA wana mambo ya ajabu sana, tunajua kila mtu anaengiza kipato anawajibu wa kulipa kodi, lakini kwann miaka yote hio hawakumlima kodi Diamond (2010-2104) ??! almost 4yrs!! Walikuwa wapi mda wote au ndo hio sheria imetungwa soon,
bado naamini kuna rundo la wasanii income tax inawahusu na haijawafikia!!

Serikali haina fedha kufuatia skendo la Escrow. Zoezi hili la TRA litaathiri mambo mengi sana kwetu sote, ikiwemo kupoteza ajira. Kuna makampuni mwaka huu yameshindwa kulipa tozo kubwa la kodi wanazotoza TRA. Na mtindo ni huu huu wakupachika kodi za ajabu kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Kama kodi zenyewe ni halali, sielewi walikuwa wapi.


Mtasikia vilio vingi sana mwaka huu kwa haya maumivu ya TRA.
Ubunifu wa kukusanya kodi wa TRA ni wa hovyo na sio endelevu. Wanakula bata wanayemtegemea awatagie mayai kesho.
Laiti ulipaji kodi TZ ungekuwa fair kwa wote...!
 
Hivi kwani huyu mtu ata akilipa kodi ni pesa ngapi?.
sidhani kama zitafika hata milioni kumi.

Ninahisi haujui sheria ya kodi vizuri.... Iwapo Diamond akagundulika hakuwahi kulipa kodi stahiki toka mwaka 2010 mpaka sasa...

Mahesabu yakipigwa atatakiwa kulipa malimbikizo yote ya miaka 5 plus na interest rate inayotumika sasa na mabank ambayo hiyo interest itakuwa calculated kutoka hiyo 2010.... So likifanyika lote hilo kodi + interest anayotakiwa TRA inaweza kuwa more than Tshs 200m... Kumbuka toka 2010 kipato cha Diamond kwa show moja ilikuwa ni zaidi ya Tshs 5m
 
Ngabu una ubishi mno sometimes
now Jay z analipwa a million dollars per show
Kanye hadi dollar laki 6
sijui why hutaki kuamini 50 at the height of his career alilipwa dola laki 5
tazama link hii ya mwaka 2014 50 analipwa dola laki 3

Find Out What Your Favorite Rapper Charges Per Show - XXL

Haya bana, ili nisiendelee kuitwa 'mbishi mno' ngoja tu nikubaliane nawe (licha ya kwamba hiyo link haionyeshi malipo halisi).

Peace.
 
Haya bana, ili nisiendelee kuitwa 'mbishi mno' ngoja tu nikubaliane nawe (licha ya kwamba hiyo link haionyeshi malipo halisi).

Peace.


Kama una source unaweza share
mimi nimezungumza according to source za online
hata hiyo ya 50 TZ naitafuta hiyo source nikupe...
 
Hapa swala siyo kukataa kulipa kodi! Swala hapa TRA wanatakiwa kuweka wazi ni mazingira gani yana wapasa wanamuziki kulipa kodi? Kama ni show zote ndani ya nchi waweke wazi na wasiwe na double standard bali kodi ikatwe kwa kila mwanamuziki na kila show inayofanywa ndani ya nchi!

Tunapenda wasanii wote walipe kodi si Diamond pekee kinacho takiwa ni TRA ni kutoa taarifa kwa Umma na kwa wasanii.

Nina hakika hili swla litaleta mkanganyiko mkubwa sana! Hili swala liwe kwa Wasanii wote na ningependa kujua limeanza lini?


Limeanza mwaka na inasadikika sababu ni ESCROW baada ya wafadhili kujitoa. Tutegemee hali ngumu mwaka huu ya upatikanaji wa fedha.
Hakuna nchi inayoendelea bila kulipa kodi...diamond anajisifia sana kua anagonga kopi alafu pia analipwa handsomlly so inabidi alipe kodi aache ukanjanja..in life only two thngs are certain"death and tax"

Sasa hapo ndio kwenye shida. Idadi ya watakaoendelea kukwepa kulipa kodi itapungua au kuongezeka?
Nini TRA imefanya kuwavutia watu na makampuni kulipa kodi ili kwao iwe kazi nyepesi kukusanya hizo kodi? (Ofcourse, kwa makampuni makubwa ya nishati na madini tumeona walichowafanyia :) )
Makadirio ya utozwaji kodi yanapimika na kueleweka?
 
Back
Top Bottom