Narudia tena, zinaa zitawamaliza vijana

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,716
36,187
Hello!
Hili ni onyo kwa vijana wenzangu hasa vijana wadogo. Kwa umri wangu huu wa miaka 36 nimeona mambo mengi kidogo. Ndoto za vijana wengi wakike na wakiume zimeyeyuka kwasababu ya zinaa.

Zinaa imeharibu na kunajisi maisha ya vijana wengi. Biashara nyingi za vijana zimevurugika na zingine kufa kabisa kwasababu ya zinaa.

ZINAA ni nini?
Zinaa ni ngono au kujamiiana kinyume na mpango wa Mungu. Ukijamiiana na mtu ambaye si mume au mke wako hiyo ni zinaa. Ukifanya kinyume na maumbile hiyo ni zinaa bila kujali unafanya na mke/mume wako.

Ikimbieni zinaa mpate kuishi maisha yenye amani na marefu.
 
Kweli unachokisema,Mtume Muhammad S.a.w anasema zinaa hurithisha umaskini,Ni kweli kabisa kwa mtu mpenda zinaa atatumia pesa kila siku kuhonga wanawake ili afanye nao zinaa,pia Kuna maradhi ambayo yakikupata huwezi kufanya kazi zako Tena kwa usahihi hivyo nguvu kazi itapotea.

Mimi nimeshuhudia zinaa ikisambaratisha maisha ya mtu kwa muda mfupi Sana.

Vijana acheni zinaa Ni janga kubwa Sana.
 
Hello!
Hili ni onyo kwa vijana wenzangu hasa vijana wadogo.
Kwa umri wangu huu wa miaka 30 nimeona mambo mengi kidogo.
Ndoto za vijana wengi wakike na wakiume zimeyeyuka kwasababu ya Zinaa.
Zinaa imeharibu na kunajisi maisha ya vijana wengi.
Biashara nyingi za vijana zimevurugika na zingine kufa kabisa kwasababu ya zinaa.
ZINAA ni nini?
Zinaa ni ngono au kujamiiana kinyume na mpango wa Mungu.
Ukijamiiana na mtu ambaye si mume au mke wako hiyo ni zinaa.
Ukifanya kinyume na maumbile hiyo ni zinaa bila kujali unafanya na mke/mume wako.
Ikimbieni zinaa mpate kuishi maisha yenye amani na marefu.
Sure mkuu,

Kuna utafiti utatoka hivi karibuni unaonyesha hivi sasa kila vijana 10 wa kiume, wakipimwa afya, vijana 9.5 wanabainika wana maambukizi ya U.T.I.

Kwa vijana wa kike, ukiwapima vijana 10 wote wanagundulika wanamaambukizi ya UTI sugu.

Hii, ni kumaanisha vijana wengi zaidi ni wagonjwa na wako hatarini zaidi kunasa gono, kaswende na UKIMWI.
 
Hello!
Hili ni onyo kwa vijana wenzangu hasa vijana wadogo. Kwa umri wangu huu wa miaka 30 nimeona mambo mengi kidogo. Ndoto za vijana wengi wakike na wakiume zimeyeyuka kwasababu ya zinaa.

Zinaa imeharibu na kunajisi maisha ya vijana wengi. Biashara nyingi za vijana zimevurugika na zingine kufa kabisa kwasababu ya zinaa.

ZINAA ni nini?
Zinaa ni ngono au kujamiiana kinyume na mpango wa Mungu. Ukijamiiana na mtu ambaye si mume au mke wako hiyo ni zinaa. Ukifanya kinyume na maumbile hiyo ni zinaa bila kujali unafanya na mke/mume wako.

Ikimbieni zinaa mpate kuishi maisha yenye amani na marefu.
Vp kuhusu nyetoh
 
Back
Top Bottom