Naposema Waarabu wana roho nzuri, wana imani, namaanisha kweli!

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
6,324
5,934
Naposema Waarabu wana roho nzuri, wana imani, namaanisha kweli!

Mara nyingi huwa nasema hakuna jamii hapa duniani watu wake wakarimu, wana imani na roho nzuri kama waarabu, namaanisha kweli. Wengi wao wamejaaliwa haswaa

Hizi clip zimetrend mitandao mingi, kwa wale wabaguzi, wenye chuki dhidi ya waarabu, pia ni wadini clip hizi ziwafikie huko mlipo, au tayari mmeshaziona, mmekausha sio!, poleni sana, sijui mtaonyesha wapi sura zenu, sijui mtakuja na neno gani kwa Sol de Mayo, kiboko ya wenye chuki!

View: https://www.instagram.com/p/C0WMCbDKsMv/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==

View: https://www.instagram.com/p/C0Z3U4Ar53x/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==

Huu ni mfano tu kwa jamii ya waarabu, ila kuna mengi mazuri ya kuwapongeza hawa ndugu zetu waarabu. Mungu awabariki sana, natumaini tutaiga mienendo/mifano yao

Wale mnaotesa mahouse girl naomba mnisikilize kwa makini! igeni kutoka kwa hawa ndugu zetu waarabu, ishini na wafanyakazi kwa wema, na sio kumnyanyasa nakumpiga na isitoshe mshahara mnawapa kiduchu, sio poa aise, na Mwenyezi Mungu hapendi myafanyayo.
 
Assalaam alaikum Ndugu zangu Waislamu.....
Habari zenu Wagalatia!....
Mhala sana bhabhaa?.....
Mmasai, Subaye!

Naposema Waarabu wana roho nzuri, wana imani, namaanisha kweli!

Mara nyingi huwa nasema hakuna jamii hapa duniani watu wake wakarimu, wana imani na roho nzuri kama waarabu, namaanisha kweli. Wengi wao wamejaaliwa haswaa

Hizi clip zimetrend mitandao mingi, kwa wale wabaguzi, wenye chuki dhidi ya waarabu, pia ni wadini clip hizi ziwafikie huko mlipo, au tayari mmeshaziona, mmekausha sio!, poleni sana, sijui mtaonyesha wapi sura zenu, sijui mtakuja na neno gani kwa Sol de Mayo, kiboko ya wenye chuki!

View: https://www.instagram.com/p/C0WMCbDKsMv/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==

View: https://www.instagram.com/p/C0Z3U4Ar53x/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==

Huu ni mfano tu kwa jamii ya waarabu, ila kuna mengi mazuri ya kuwapongeza hawa ndugu zetu waarabu. Mungu awabariki sana, natumaini tutaiga mienendo/mifano yao

Wale mnaotesa mahouse girl naomba mnisikilize kwa makini! igeni kutoka kwa hawa ndugu zetu waarabu, ishini na wafanyakazi kwa wema, na sio kumnyanyasa nakumpiga na isitoshe mshahara mnawapa kiduchu, sio poa aise, na Mwenyezi Mungu hapendi myafanyayo.

Kwa nini maeneo waliyokaa Waarabu kipindi cha ukoloni yako chini kiuchumi ukilinganisha na waliyokaa Wazungu? Mifano

1. Kigoma vs Bukoba

2. Kilimanjaro vs Singida

3. Arusha vs Tabora

Ni watu gani waliokuwa wakiwauza Waafrika kama "ng'ombe"?
 
Pole sana kwa kumezeshwa uongo, watu kama wewe hata urais au ubunge hamustahili.

Dar imekaliwa na waarabu, ile bandari ameijenga nani kama sio mwarabu? Asilimia kubwa dar ni waislamu, endelea kukariri tu ewe myahudi mweusi

Kwa nini maeneo waliyokaa Waarabu kipindi cha ukoloni yako chini kiuchumi ukilinganisha na waliyokaa Wazungu? Mifano

1. Kigoma vs Bukoba

2. Kilimanjaro vs Singida

3. Arusha vs Tabora

Ni watu gani waliokuwa wakiwauza Waafrika kama "ng'ombe"?
Ulikuwepo wakati huo? Au ndio mambo ya history darasa la 5, pole sana ewe myahudi mweusi
 
Kwa nini maeneo waliyokaa Waarabu kipindi cha ukoloni yako chini kiuchumi ukilinganisha na waliyokaa Wazungu? Mifano

1. Kigoma vs Bukoba

2. Kilimanjaro vs Singida

3. Arusha vs Tabora

Ni watu gani waliokuwa wakiwauza Waafrika kama "ng'ombe"?
Out of topic.
 
Ficha ujinga wako, salamu ni salamu tu. Hakuna ya kiarabu wala kimasai zote ni salamu.
Pumbafffff
Kama salamu ni salamu basi ungetumia ya wandengereko wenzio, badala yake umekimbilia ya waume zako waarabu ambao wako kilomita zaidi ya 6000 na ukaacha salamu za wenzio ulionao hapo karibu una maana yako.
 
Masheikh walinunuwa watumwa kwa machifu, kumbuka hilo. Na wao wakawauzia wazungu, ni biashara ambayo mpaka leo ipo, imebadilika jina tu?

Hujaona leo tangazo hapahapa JF wanatakiwa watumwa Saudi Arabia? Wahi nafasi.
Cest rhétorique.
Saudi? let me chercher.
Balinunu au baliwateka?
 
Kwa nini maeneo waliyokaa Waarabu kipindi cha ukoloni yako chini kiuchumi ukilinganisha na waliyokaa Wazungu? Mifano

1. Kigoma vs Bukoba

2. Kilimanjaro vs Singida

3. Arusha vs Tabora

Ni watu gani waliokuwa wakiwauza Waafrika kama "ng'ombe"?
Yale majamaa Yana laana ya kuzaliwa. Haifichiki mji alokaa mwarabu mpaka Leo ni chenga tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom