Napoli wins Italian cup

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,494
Napoli FC which was well beaten by Chelsea in CL Leo wamewafunga mabingwa wa italy : Juventus goli 2-0 kwenye finali ya Italian cup! Magoli lakwanza penalti ilifungwa na Edson Cavani (Chelsea target) na la pili llimefungwa na Hamsiki

Hongera Napoli
 
It's a very fine game! Hawa Juventus walikuwa hajafungwa Msimu huu
 
Napoli FC which was well beaten by Chelsea in CL Leo wamewafunga mabingwa wa italy : Juventus goli 2-0 kwenye finali ya Italian cup! Magoli lakwanza penalti ilifungwa na Edson Cavani (Chelsea target) na la pili llimefungwa na Hamsiki

Hongera Napoli

Wenye Juve wote wameingia Chaka...unbeaten pyuuuuuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom