Napitia magumu, nimegundua mke wangu mtarajiwa anani-cheat na jamaa ambaye anadai ni rafiki tu

Kuanza mapenzi ukubwani ndo tatizo nnalo ona kwako

Unaambiwa uende gym ukatengeneze body Kama la nchomba chitoholi harmonize ndo upewe penzi
Mjomba unaibiwa

Ume letewa na mtoto mkubwa wa mwanamke umlee
Apo ushapigwa handcup -1

Leo una chapiwa wazi wazi una Kuja kulia Lia umu ukipewa makavu una enda jukwaa la malalamiko kua wanaume wa humu tuna roho mbaya
 
Ndugu yang tumia akili Sana kuliko hisia kwa huyo Binti hapo hakuna mke tuwe wakwel hapo ni wewe uchague mwenyewe Sasa ubet maisha yako yawe kwenye risky

Huyo jamaa anadai ni best yake hao ni wapenz wa mda mrefu Sana tuna wanamalengo makubwa sana pamoja jua hilo. Wewe upo kama njia ya wao kufikia hatima zao unatumika mwamba amka

Kwanzaa first scenes unaonyesha huyo bidada anakuendesha Sana na ww ulimfosi au kumshawishi akupende kwa Mali ulizonazo na yeye anakutumia kwa pesa zako lakini haupo kwenye mipango yake ya mbeleni

Cha mwisho wewe ni mwanaume Ndugu yangu picha ulishaliona unasubiri Nini akue unajifariji Ndugu yangu

Take your own risk for your upcoming day's

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahanini sana kwa kuleta nyuzi nyingi. Nimeanza kuishi pamoja na mke wangu mtarajiwa. Nimegundua anani cheat na jamaa mcheza pool flani ambaye yy anadai ni rafiki tu.

Huyu jamaa kuna siku juzi kati tu hapa alikua na msala wa kulala na binti wa shule nikai save soo lake. Na wife ndo alinisimulia na kuniunganisha nae, ila leo nagundua anammendea wife roho inaniuma sana. Nimegombana na huyu jamaa tumerushiana maneno makali sana nusu turushuane ngumi.

Wife alipojua alinifokea na alikasirika sana, kasema wale ni rafiki zake tu na hapendi ninavyomtenga na jamii coz kuna leo na kesho kutwa. Je, aki-fall down njiani nani atamuokota? Nikakosa cha kujibu. Anyway nikamuambia sorry mama life should proceed.

If that not be the case tangu week jana kasema kua simpendi coz namfatilia sana na She needs privacy somtimez, anasema ha feel good nikikagua kagua simu yake. Anajiskia vbaya na kuona simpendi and i only use her. Nitaishi vipi bila yeye?

Nampenda mke wangu mno. Na hapa kaondoka yupo mkoa fulani kwa ndugu zake kwa issues flan na status naona kamsave jamaa ni km anambembeleza. More enough kani mute kwa no yngu aliyoizoea na apa nimeichek kwa no yngu nyingine ambayo yeye alisahau kuifuta niliipotezaga nikai renew.

Kichwa kimepata moto mno.why ani mute? Huyu mjinga anayemendea wake za watu(nahis hivo) nafikiria kumpoteza. Napitia magumu mno ndugu zangu.

Na hapa nafanya mpango ninunue gari na nimjengee uko kwao.but hajatulia kiivyo yaani she's so childish... sasa nisubiri akue kue walau afike miaka 35 ndo nimfanyie hayo au? Nalifikiria hili.

Siku 2 hizi akili ilivurugika kidogo. Depression isikie tu kwa watu. Unatype hata uelewi una type nn!onba isikukute.

Anyway wacha nisubiri akue kue, naendela kumuweka kwenye mstari. Yaani ata sijui km niombe ushauri au la!
Sasa nimeandika nini tena?
Pole sana chief kwa kuendelea kukumbatia bomu.
 
Ukiona mwanamke hakupi ruhusa ya simu yake, WEWE JUA ANALIWA NJE, YAAN WEE JUA ANALIWA NJE !!.

kuhusu kukumute, kukuunganishe na jama yake, kukuambia anataka privacy na blaa blaah, YOTE HAYO ANAKUTHIBITISHIA KUA ANAKUSALITI.

Kwann analiwa najamaa hata kama anajua jama ana majanga?.

Wanawake wanakawaida ya Kuvutiwa na Wanaume Malaya wahuni wahuni wenye Wanawake wengi !!.

USHAURI NAOKUPA.

ONDOA WAZO LA KUMUOA HUYO MAANAMKE MARA MOJA, KAMA UNAISHI NAYE, MWAMBIE AISHI KWAKE.

NARUDIA, USIMUOEE, KAMA UNAMUOA OA ILA SASA KUA NA MOYO KAMA WANGU "YAAN HATA UKIMKUTA ANA LIWA, UNASAMEHE TU".

KWANN NAKUAMBIA IVO?? NMEKUONA UNA MOYO MDOGOOOO SANA, SASA HAKUFAI.

NENDA KIJIJIN KWETU, JICHAGULIE BINTI, OA HUYO.

HUYU TAYARI HAKUFAI.
 
Samahanini sana kwa kuleta nyuzi nyingi. Nimeanza kuishi pamoja na mke wangu mtarajiwa. Nimegundua anani cheat na jamaa mcheza pool flani ambaye yy anadai ni rafiki tu.

Huyu jamaa kuna siku juzi kati tu hapa alikua na msala wa kulala na binti wa shule nikai save soo lake. Na wife ndo alinisimulia na kuniunganisha nae, ila leo nagundua anammendea wife roho inaniuma sana. Nimegombana na huyu jamaa tumerushiana maneno makali sana nusu turushuane ngumi.

Wife alipojua alinifokea na alikasirika sana, kasema wale ni rafiki zake tu na hapendi ninavyomtenga na jamii coz kuna leo na kesho kutwa. Je, aki-fall down njiani nani atamuokota? Nikakosa cha kujibu. Anyway nikamuambia sorry mama life should proceed.

If that not be the case tangu week jana kasema kua simpendi coz namfatilia sana na She needs privacy somtimez, anasema ha feel good nikikagua kagua simu yake. Anajiskia vbaya na kuona simpendi and i only use her. Nitaishi vipi bila yeye?

Nampenda mke wangu mno. Na hapa kaondoka yupo mkoa fulani kwa ndugu zake kwa issues flan na status naona kamsave jamaa ni km anambembeleza. More enough kani mute kwa no yngu aliyoizoea na apa nimeichek kwa no yngu nyingine ambayo yeye alisahau kuifuta niliipotezaga nikai renew.

Kichwa kimepata moto mno.why ani mute? Huyu mjinga anayemendea wake za watu(nahis hivo) nafikiria kumpoteza. Napitia magumu mno ndugu zangu.

Na hapa nafanya mpango ninunue gari na nimjengee uko kwao.but hajatulia kiivyo yaani she's so childish... sasa nisubiri akue kue walau afike miaka 35 ndo nimfanyie hayo au? Nalifikiria hili.

Siku 2 hizi akili ilivurugika kidogo. Depression isikie tu kwa watu. Unatype hata uelewi una type nn!onba isikukute.

Anyway wacha nisubiri akue kue, naendela kumuweka kwenye mstari. Yaani ata sijui km niombe ushauri au la!
Sasa nimeandika nini tena?
Inanishangaza kuona mwanaume anashindwa ku deal na issue kama hizi. Be a men, decide for your own sake.

Mkuu mbona kila siku zinaletwa nyuzi humu za kutuelimisha? Ukimpenda sana mtu jiandae kuumia ndio hii sasa. Penda mtu kiasi tu inatosha.

Wewe unaona kabisa kila dalili anatembea na lijamaa lingine na wewe unang'ang'ana umbadilishe. Ili kumbadilisha tabia lazima wewe uwe zoba uwe kama huoni anacho kifanya. Ukifikia tu huo uzoba ndipo lengo lake litakua limetimia la kukuendesha anavyotaka. Kwisha habari yako.

Mm mwanamke kuniletea upuuzi hapana kabisa.

The choice is yours. Good luck buddy
FB_IMG_1679933907683.jpg
 
Samahanini sana kwa kuleta nyuzi nyingi. Nimeanza kuishi pamoja na mke wangu mtarajiwa. Nimegundua anani cheat na jamaa mcheza pool flani ambaye yy anadai ni rafiki tu.

Huyu jamaa kuna siku juzi kati tu hapa alikua na msala wa kulala na binti wa shule nikai save soo lake. Na wife ndo alinisimulia na kuniunganisha nae, ila leo nagundua anammendea wife roho inaniuma sana. Nimegombana na huyu jamaa tumerushiana maneno makali sana nusu turushuane ngumi.

Wife alipojua alinifokea na alikasirika sana, kasema wale ni rafiki zake tu na hapendi ninavyomtenga na jamii coz kuna leo na kesho kutwa. Je, aki-fall down njiani nani atamuokota? Nikakosa cha kujibu. Anyway nikamuambia sorry mama life should proceed.

If that not be the case tangu week jana kasema kua simpendi coz namfatilia sana na She needs privacy somtimez, anasema ha feel good nikikagua kagua simu yake. Anajiskia vbaya na kuona simpendi and i only use her. Nitaishi vipi bila yeye?

Nampenda mke wangu mno. Na hapa kaondoka yupo mkoa fulani kwa ndugu zake kwa issues flan na status naona kamsave jamaa ni km anambembeleza. More enough kani mute kwa no yngu aliyoizoea na apa nimeichek kwa no yngu nyingine ambayo yeye alisahau kuifuta niliipotezaga nikai renew.

Kichwa kimepata moto mno.why ani mute? Huyu mjinga anayemendea wake za watu(nahis hivo) nafikiria kumpoteza. Napitia magumu mno ndugu zangu.

Na hapa nafanya mpango ninunue gari na nimjengee uko kwao.but hajatulia kiivyo yaani she's so childish... sasa nisubiri akue kue walau afike miaka 35 ndo nimfanyie hayo au? Nalifikiria hili.

Siku 2 hizi akili ilivurugika kidogo. Depression isikie tu kwa watu. Unatype hata uelewi una type nn!onba isikukute.

Anyway wacha nisubiri akue kue, naendela kumuweka kwenye mstari. Yaani ata sijui km niombe ushauri au la!
Sasa nimeandika nini tena?

Wanaume wanaisha, sijui tuweke mkakati gani wa Kitaifa...
 
MUNGU huwa hampi mwanaume mwanamke mpumbavu ila ni mwanaume asiyekuwa na akili sawa sawa huwa anachagua mwenyewe kwa utashi wake kuishi na mwanamke mpumbavu.

Sasa hapo umeshikwa au una mkataba na huyo mwanamke na ameshakuonyesha kila dalili ya kudharau na kutokuheshimu uwepo wako?

Ukiona mwanamke analeta habari ambazo hauzielewi huna haja hata ya kwenda kwa rafiki yako kulalamika jua ameamua kukufanyia kusudi sababu anakudharau na hakuheshimu kama mume wake.

Wanawake wameagizwa kutii na kuheshimu mwanaume wake kama namna ya kuonyesha upendo si vinginevyo. Ukiona mwanamke anakaa na kuishi na wewe kama mateka au kalazimishwa keti nae chini mwambie tu me sitaki uteseke au uishi kwa mashaka, wewe kuwa free tu nenda ambapo utakuwa na amani mimi nitatafuta ambaye atafurahia kuishi hapa na mimi bila mashaka mashaka.

Kwann unalazimisha mtu akupe heshima wakati ameshachagua kukuona wa kawaida na wa ziada? Malalamiko waachie wanawake wao ndio wanatakiwa kuleta nyuzi za malalamiko hapa sababu wakishaharibiwa direction ya mahusiano wanakazi kubwa sana kujijenga upya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom