Uchaguzi 2020 Napinga viongozi wa dini kukutana kwa lengo la kuelezea kinachoitwa mafanikio ya Rais Magufuli, hii ni kampeni na haikubaliki

tapatalk_1597348511537.jpeg
 
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!

Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.

Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?

Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.

Uzuri hakuna anayewasikilizaga MAFANIKIO HAYATAKIWI KUTANGAXA YANAJITANGAZA YENYEWE
 
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!

Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.

Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?

Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.

we pinga wenzio wanalamba bahasha
 
huu ni uhuni na kujipendekeza,viongozi wa dini wa aina hii hawafai wataingiza nchi kwenye machafuko,hiyo kazi ni ya polepole siyo yao
 
Hivi huyu Musa Salum, si ndiye yule aliyekuwa akijipendekeza kwa Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dsm na ambaye mara tu Makonda aliposhindwa kura za maoni Kigamboni, akamruka akidai alikuwa karibu naye kwa kuwa alikuwa na mkate mkononi.
Huyu ni Mwana CCM anayetumia mwamvuli wa dini kusaka tonge. Hana lolote huyu. Tena wananchi mkae chonjo na hawa matapeli.
Kama kweli wanampenda amani, mbona hawamhimizi Rais Magufuli kutenda haki!!?
Wanapanga mkutano Dodoma tarehe 25/08/2020 eti kuombea nchi, waongo wakubwa hawa, lengo lao ni kuingilia mchakato wa uteuzi wa tume ya Uchaguzi kwa faida ya CCM na Magufuli.
Mwisho, hivi mtu akimuuliza Kakobe ni lini Magufuli alitubu ile dhambi ya kuumiza watu na kuvunja Katiba, jibu lake litakuwa nini zaidi ya "mtumikie kaisari upate mradi wako.!!!"
 
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!

Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.

Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?

Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.

Acha kuitumia maneno vibaya...Sasa mamluki ni Nani hapa atiiii🤣😂🤣😂🤣😂🙉!?
Wao wametumia haki yao ya kikatiba kutoa ya moyoni🤔! Shida ipo wapi? Hiyo roho ya Kaini Mungu akusaidie kuushinda, vinginevyo yatakukuta makubwa!?
 
Viongozi wa Dini ni watanzania wana kila sababu ya kueleza maoni yao juu ya utendaji wa serikali, ni kila jambo na wakati wake. Kuna wakati wanatoa nyaraka za kichungaji, lakini safari hii wamebadilisha style ya kufikisha ujumbe. Wanaopinga wasage sumu, wapinzani walitegemea hotuba ya kuisema serikali kwa mabaya, na kwa nini kuisema serikali kwa mazuri imekuwa shid??? wAAMBIENI WABELIGIJI hiI NI tANZANIA, Mbeligiji aishie kwa Lissu na aikome tanzania.
 
huu ni uhuni na kujipendekeza,viongozi wa dini wa aina hii hawafai wataingiza nchi kwenye machafuko,hiyo kazi ni ya polepole siyo yao
Nyie ndiyo mna mpango wa kuiingiza nchi kwenye machafuko ndiyo maana viongozi wa dini wameamua kupiga MSTARI JUU ya nchi yao. Waambieni Mabeberu wenu, kuwa this is real TANZANIA
 
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!

Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.

Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?

Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.

Huyo sheikh wa mkoa wa dsm mmae amekaa kama kada wa CCM. huyu ndo anayefanya BAKWATA ionekane kama tawi la CCM badala ya kuwa ni taasisi huru . Mimi ni muislamu lkn huyo sheikh mkeka sikubaliani naye . Sheikh pekee ni sheikh ponda. waangalie wametoa macho kama kumbi kumbi na huku wakijua kuwa kampeni bado hazijaanza.
 
Waache waziunge juhudi mkono, lakini nafikiri viongozi wetu hawa wangeuliza, waliowatangulia kuunga mkono juhudi, kina Silinde na Jualamoto! (Sorry misspelling!!)
Kwa mfano; wamisionari hawapewi vibali, benki za zinazibitiwa, shule zao zinabanwa! Na ikitokea ‘mboga mboga’ wakarudi kwenye viti vya enzi, kuongoza dini utatakiwa kacheti, usajili nao!!
Waziunge sana juhudi, watavuna walichopanda!
 
Hawajielewi. Viongozi wa dini wakiisema serikali wanakuwa wanafaa ila wakiisifia hawafai.
Kwa mtazamo wako upo sahihi kulingana na mfumo unakuendesha (siujui) Ukweli viongoziozi wa dini wanao jielewa hawawezi kujiingiza katika mambo ya vyama (mambo ya hovyo) tuweni wa kweli hao viongozi wamepotoka.
 
Back
Top Bottom