Napendekeza Magufuli awe Rais wa maisha, tufute vyama vingi

Hapana, katiba ibadilishwe, Jakaya aweze kugombea tena, alafu awe Rais wa maisha...

Itapendenza sana....

Cc: mahondaw
 
Kama una akili kamwambie Meko arudishe hiyo mitumba ya ndege aliyouziwa na mabeberu fala wewe
Mwambie pia apaki hayo magari anayotembelea maana yote ni made in kwa mabeberu kuku ww

Mwambie pia afunge balozi zote pimbi wewe
[/QUO

Akili kubwa haiwezi kuongozwa na akili ndogo...baki na utopolo wako....maana na wewe kazi yako ni kusifia mabepari badala ya wewe kuwaza nchi yako itafikaje hapo
 
Halafu unajua WanaCCM mnadhani haya ni mambo mema na ya kufurahia.
Acha ndugu yangu twende nao,tuko katika chungu kimoja kama kuiva tutaiva pamoja kama kuungua tutaungua pamoja.

Kama mtu bado hajaweza kuon uhusiano baina ya demokrasia na maendeleo na ni above eighteen, utasumbuka kuelimisha "machizi".
 
Mbona unatoa takwimu ambazo mwenyewe binafsi huna uhakika. Umetumia kigezo gani kutoa takwimu zenye utata kiasi hiki, hayo ni mawazo yako na kama ungepata mda wa kutathmini usingeweza kusema hivyo. WaTanzania wengi wanaakili timamu, hizo takwimu zako si za kweli.
Wewe unajiona timamu kweli!? Yaani uwe na ID ya Pan-Africanist halafu uwe na utimamu!?
Wewe ni mfano mkubwa na uhalisia wa alichokiandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio Demokrasia ya Tanzania. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini.

Bunge liapishwe, katiba ibadilishwe, Magufuli awe rais wa maisha Kama yule wa China.

Tuvunje uhusiano na mabeberu wa magharibi, sisi Ni nchi tajiri wala hatuhitaji kusaidiwa.

Tupige marufuku vyama vya siasa na siasa zote zifanywe na kuratibiwa na CCM tu.

Kila raia aliye na miaka kuanzia 18 na KUENDELEA ni lazima awe na kadi ya CCM na ailipie kwa lazima.

Huduma zote za kijamii zitolewe tu baada ya raia kuonyesha kadi ya CCM.

Yajayo yanahuzunisha.
Wewe umeongea points sana,hakika hanna haja ya kutumia hela ya watanzania masikini kufanya kiini macho cha uchaguzi vifutwe tuu naunga mkono hoja
 
Hii ndio Demokrasia ya Tanzania🇹🇿. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini.

Bunge liapishwe, katiba ibadilishwe, Magufuli awe rais wa maisha Kama yule wa China.

Tuvunje uhusiano na mabeberu wa magharibi, sisi Ni nchi tajiri wala hatuhitaji kusaidiwa.

Tupige marufuku vyama vya siasa na siasa zote zifanywe na kuratibiwa na CCM tu.

Kila raia aliye na miaka kuanzia 18 na KUENDELEA ni lazima awe na kadi ya CCM na ailipie kwa lazima.

Huduma zote za kijamii zitolewe tu baada ya raia kuonyesha kadi ya CCM.

Yajayo yanahuzunisha.
Acha tu nisi comment ila nadhani utanielewa!!
 
Tunahitaji kujenga taifa ambalo watu wanaelewana, wanapendana hata kama wana itikadi tofauti.
Vyama vingi vionekane kama fursa ya wananchi kubadilisha uongozi kwa faida yao na siyo uadui.
Uwepo na mafanikio ya raisi Magufuli una uhusiano wa moja kwa moja na kukua kwa upinzani Tanzania.
Magufuli amefanya mageuzi ndani ya CCM na serikali akipambana na nguvu ya upinzani uliokuwepo na huu ni mfano wa faida ya uwepo wa demokrasia ya vyama vingi.
Changamoto kubwa sasa ni umasikini wa fikra na kiuchumi unaosababisha watumishi wa uma na vyombo vya dola kushindwa kutenganisha vyama vya siasa, serikali na taifa.
 
Hii ndio Demokrasia ya Tanzania🇹🇿. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini.

Bunge liapishwe, katiba ibadilishwe, Magufuli awe rais wa maisha Kama yule wa China.

Tuvunje uhusiano na mabeberu wa magharibi, sisi Ni nchi tajiri wala hatuhitaji kusaidiwa.

Tupige marufuku vyama vya siasa na siasa zote zifanywe na kuratibiwa na CCM tu.

Kila raia aliye na miaka kuanzia 18 na KUENDELEA ni lazima awe na kadi ya CCM na ailipie kwa lazima.

Huduma zote za kijamii zitolewe tu baada ya raia kuonyesha kadi ya CCM.

Yajayo yanahuzunisha.
Kwa hiyo Nyerere alikuwa mjinga
 
unaomba udikteta 😂 matokeo yake utayaona hii miaka mitano. Ni bahati kama huu mtandao utakuwepo
 
Hii ndio Demokrasia ya Tanzania. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini.

Bunge liapishwe, katiba ibadilishwe, Magufuli awe rais wa maisha Kama yule wa China.

Tuvunje uhusiano na mabeberu wa magharibi, sisi Ni nchi tajiri wala hatuhitaji kusaidiwa.

Tupige marufuku vyama vya siasa na siasa zote zifanywe na kuratibiwa na CCM tu.

Kila raia aliye na miaka kuanzia 18 na KUENDELEA ni lazima awe na kadi ya CCM na ailipie kwa lazima.

Huduma zote za kijamii zitolewe tu baada ya raia kuonyesha kadi ya CCM.

Yajayo yanahuzunisha.
Hii ingepitishwa mara baada ya hui ushauri, sijui tungekuwa katika hali gani muda huu?
 
Back
Top Bottom