napenda kujua unajisikiaje,

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
unapogundua mpenzi wako hakuamini kila unachomuambia kwake ni hadithi na mpenzi huyo labda tuseme ni muaminifu kwa aina moja au nyingine lakini wewe tuseme kwa tamaa zako umemcheat na kwa vile kakugundua hakuamini kabsa na amekuambia kabsa "i will never trust u" unafanyaje hapo, mia.
 
Kiukwel Hal Kama Hyo Ikishakufka,Kinachotawala Ni Madharau Pekee
Tena Ni Bora Mkaachana Kulko Kuish Kihisia Kama Hvyo
Maana Mda Mwng Atakuwazia Wewe Uko Na M2 Fulan Kumbe Cvyo
Na Ukikutana Na Vchwa Changanyken Nae Anacheat Ili Ngoma Iwe Droo.
 
Kama namuhitaji nitajitahidi kutomcheat tena. With time atabadilisha mawazo. kama simfagilii sana wala sitajali...
 
well unakubali kuwa wewe sio mwaminifu na unasepa kwa kuwa without trust we got nothing bby!!
 
Naturally, trust ni ngumu sana kuijenga na pia si rahisi kuipoteza kama umedhamiria kutoipoteza...Hapo jitahidi kuijenga trust na baada ya muda itakua tu na atakuamini tena kama ilivyokua hapo awali.
Kama unauthamini huo uhusiano try to understand him and stay by him faithfully..
FYI: Si kwa sababu watu wengi hucheat ndo ifanye na wewe uone ni kitu kidogo...cheating is insulting your partner, making them know you dont see them as wothy to be your partner and most of all they are a disgrace as a woman/ man and not desirable.....Ukishamfanya mtu ajisikie hivyo basi kama kuna mtu alikuwa anamthamini na kumpenda akakataliwa kwa sababu yako ndo ataanza kutafutwa sasa.
 
Tatizo ni kwamba utajikuta unanyanyasika kwa maneno atakayo kuwa anakupa .Halafu kama anarudia*2 kukwambia jua any tme anakudrop bora kujiwahi.ikishakuwa ivyo nasign off.
 
unapogundua mpenzi wako hakuamini kila unachomuambia kwake ni hadithi na mpenzi huyo labda tuseme ni muaminifu kwa aina moja au nyingine lakini wewe tuseme kwa tamaa zako umemcheat na kwa vile kakugundua hakuamini kabsa na amekuambia kabsa "i will never trust u" unafanyaje hapo, mia.

kwa kuwa ulikosea mwenyewe itabidi uwe mpole tu. Huna haja ya kumlazimisha akuamini ila matendo yako ya tabia ya uaminifu utakaoendelea nao utambadilisha kidogo kidogo na ataanza kurudisha imani yake kwako. Jishushe, kuwa mwaminifu ndio adhabu yako; itumikie bila kukata tamaa.
 
imani ikipotea ni ngumu sana kuirudisha hasa ikitokea km hampo karibu tafuta ustaarabu mwingine
 
Hapo kinachotakiwa ni kumdharau tu, sisi wanaume asili yetu ni kuruka fensi, hata ukimuacha/akikuacha atakayekuja ni kuruka fensi kama kawa. Cha msingi ni kufanya kazi kwa biddii na kuhakikisha ac bank inasomeka vizuri.
 
kwa kuwa ulikosea mwenyewe itabidi uwe mpole tu. Huna haja ya kumlazimisha akuamini ila matendo yako ya tabia ya uaminifu utakaoendelea nao utambadilisha kidogo kidogo na ataanza kurudisha imani yake kwako. Jishushe, kuwa mwaminifu ndio adhabu yako; itumikie bila kukata tamaa.

nimependa huu mtazamo
 
Jisikie vibaya kisha ufanye kazi ya ziada kurudisha uaminifu. Usilazimishe wala usilalamike.
 
Kiukwel Hal Kama Hyo Ikishakufka,Kinachotawala Ni Madharau Pekee
Tena Ni Bora Mkaachana Kulko Kuish Kihisia Kama Hvyo
Maana Mda Mwng Atakuwazia Wewe Uko Na M2 Fulan Kumbe Cvyo
Na Ukikutana Na Vchwa Changanyken Nae Anacheat Ili Ngoma Iwe Droo.

huo ni mtazamo wako umeshaacha wangapi wewe
 
Hapo kinachotakiwa ni kumdharau tu, sisi wanaume asili yetu ni kuruka fensi, hata ukimuacha/akikuacha atakayekuja ni kuruka fensi kama kawa. Cha msingi ni kufanya kazi kwa biddii na kuhakikisha ac bank inasomeka vizuri.

very soon itasomea muhimbili kwa tabia yako hii
 
Easy. Just stop being serious and go with the flow and remember to use protection.
 
inavyosemekana zamani wanaume ndo walikua vinara wa kukunjua amri ya sita nje ya ndoa ila siku hizi wanawake ndo wameshika hatamu, kitu cha kwanza wanahitaji ulinzi kwa kuwa na pesa benki na kumiliki vitu kadhaa kisha wanataka kuwatawala wanaume kwa kuwamiliki wanao/anayemtimizia mahitaji yake ya mwili na wanomuhonga wanazinguliwa tuu...ni noma chalii
 
Back
Top Bottom