Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Ndugu yangu mtu akifanya la maana lazima asifiwe akitibua alaaniwe, usiwe kama umenyweshwa dawa ya mapenzi na Magufuli. Nape atasifiwa na wote wanaojua haki za raia kasoro CCM wenye akili kama Makonda na Magufuli.

Lini umesifia. Ukiwa. Mnafiki ukumbuke na ya nyuma
 
ifike sehemu watanzania tuwe wamoja tuache ushabiki wakisiasa maana nchi hii inahitaji nguvu ya wananchi kwa sababu inako elekea nipabovu mno na ninahisi bashite na mwenzake wanapiga madili ya unga
 
Tumeshapata ujumbe kutoka kwa rais Magufuli kuwa adui yake namba moja ni vita dhidi ya madawa ya kulevya.

Baada ya kuishi kwa kufuata matukio zaidi ya mwezi sasa tangu Makonda aanike hadharani majina ya wauzaji wasafirishaji na watumiaji wa dawa za kulevya sasa tuseme basi. IMETOSHA. TURUDI KWENYE HOJA YA MSINGI YA MAPAMBANO DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA.

WENYE USHAHIDI WA VYETI VYA BASHITE TUKUTANE MAHAKAMANI.
WENYE USHAHIDI WA UVAMIZI WA MAKONDA CLOUDS TUKUTANE POLISI.
NAREJEA TENA. TURUDI KATIKA HOJA YA MSINGI ILOYOTUFIKISHA HAPA YA VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA.

Naona mpaka plate number yako umeikosea ina numbers zaidi.. hahaha
Kaka la madawa liko kwa Commissioner na anaendelea na kazi hivyo tusimuingilie maana kama anataka ushirikiano nauhakika anaupata mwingi tuu kutoka kwa wananchi. Believe me anafanya mambo mengi sana tu ambayo tutaona mafanikio si punde.

Hayo mengine inabidi yaende kihivyo hivyo tu, umeona yanayowakuta watu wakijaribu kusema chochote? unafikiri je, mwananchi wa kawaida hata kama ana ushahidi ataupeleka mbele ya haki ili yamkute? kifupi ni kwamba inapokuja kuhusu sensitive issues kama hii, na kwa dunia hii ya kisasa, utawasikia watu kwenye social media tuu.. take it from me..!!!

PS: PLEASE DON'T USE CAPS-(HERUFI KUBWA), THIS MEANS YOU ARE SHOUTING AT US AND THIS IS BEING RUDE..!!!
 
Waliopambana kwenye kampeni kwa sasa wanaonekana si chochote si lolote, "tenda Wema uende zako usingoje shukrani"
 
Nape kuna kipindi nilikuwa simkubali..ila kwa hili SAGA linalotokea sasa hivi nchini namuelewa..

Napenda sana alivyosema...Nitasimamia ukwelihata kama ametenguliwa


Usipopita kwenye matatizoya kisiasa hutakomaa, Ili mbegu iote shuti ioze, nimepanda mbegu ya kupigania haki hakika itaota, Tanzania ni yetu nchini yetu. Vijana hamna la kuogopa simamieni mnachokiamini Mwalimu, Kawawa waliondoka na sisi tutaondoka. Sisi pia tutaondoka suala la kujiuliza tutaawaachia watoto wetu nchi ya aina gani, hilo ndio kubwa,uamuzi ni wa kwetu wenyewe.
 
Kampeni ya kwanza tususie kwenda uwanjani taifa stars ikicheza uwanjani, waende TFF
 
Nape big up bro kwan kuukataa uchumia tumbo na kukubali kusimamia maslahi ya wanyonge.Mbegu uloipanda hakika itachipua.faraja za kina kinana zinahitajika sana kwa nape muda huu kwa huyu mwanarahakati
 
Nape gemu lake lilishanaswa

Akajisahau zaidi aliposifiwa Mtwara na Mh. Rais

Kumbe anaangaliwa, hivyo akajiona hawezwi kumbe mmmmh

Jumatatu akatoka pangoni mwenyewe, kuchagua wahariri kwa tume mmmmh, na wanamwandika Mh. Makonda ovyoooo mmmmh, ripoti ilijaa uongo eti aliwakimbia ha ha haaaa kumbe hata hawakumtafuta ni mengi. Kubwa aliamua kumuhukumu Mh. Makonda Jumatatu, tume aliichagua Jumapili

Tabu gemu hamfanyi kwa akili, kama mnavyomsingizia Makonda kila kitu

Ha ha haaaa

JPM kiboko, tutamzoea tuchape kazi tuache udaku

JPM oyeeeee
Makonda oyeeeee
Jaribu kupitia ulichokiandika
 
Mzee wa goli la mkono,nikikumbuka lowasa alivyotukanwa ,duh!

Ila yaliyopita si ndwele,ndo ujue mnavyowapa shida upinzsni wanaposimamia ukweli
 
Back
Top Bottom