SonGod emo
Member
- Apr 5, 2012
- 17
- 12
Namshangaa sana Nape kwa kutokusoma alama za nyakatati aangalie Arusha/Monduli na hata Mwanza asijipe moyo wakati chama kinakufa awaangalie kina Gadafi/Ben/Sadaam na wengine wengi waliwatukana watu kuwa ni panya na mende wanaosumbua nyumani leo hii wako wap? REJEA ALAMA ZA NYAKATI NDUGU.