Nape Nnauye ahoji upatikanaji Mwenyekiti

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Mbunge Nape Nnauye ametoa yake ya moyoni kwa kuhoji vyama vya siasa na wanasiasa Tanzania wanajifunza nini kufuatia mchakato wa uchaguzi ndani ya chama tawala cha (ANC) uliofanyika Afrika Kusini mwanzoni mwa wiki hii kumpata kiongozi wa chama hicho.

Nape.jpg

Chama tawala cha African National Congress (ANC) kilikuwa na uchaguzi wa ndani kumtafuta kiongozi wa juu ya chama hicho ambapo kulikuwa na zoezi la uchaguzi na nafasi hiyo kugombewa na wananchama wa chama hicho na kupigiwa kura, ambapo mwisho wa siku Cyril Ramaphosa aliibuka mshindi kwa kura nyingi zaidi dhidi ya Nkosazana Dlamini-Zuma hivyo Cyril Ramaphosa kutangazwa Rais wa (ANC).

"Tunajifunza nini kwa mchakato uliopelekea kupatikana kwa Cryll Ramaphosa kama Mwenyekiti wa ANC!? Alihoji Nape Nnauye

Nape%20Nnauye_0.jpg

Uchaguzi wa Chama tawala nchini Afrika Kusini (ANC) ulitofautiana na uchaguzi wa Chama Tawala nchini Tanzania ambapo Mwenyekiti wake alipatikana kwa kupigiwa kura ya Ndiyo au Hapana wakati Afrika Kusini nafasi hiyo iligombewa na mtu zaidi ya mmoja.
 
Hatuitaji wana Siasa wanafiki sisi, wakitingwa wanajifanya kuwa bega kwa bega na sisi, wakikumbatiwa wanatusahau aende lumumba akahoji wenzake siyo sisi, sisi sasa tunasali usiku na mchana tunalia ili mungu atende miujiza yake tu maana chama tawala hakitaki achia madaraka dawa nikusali tu, ili mungu afanye miujiza watanzania tupate tunachotaka maana tunaonewa sana.
 
Mbunge Nape Nnauye ametoa yake ya moyoni kwa kuhoji vyama vya siasa na wanasiasa Tanzania wanajifunza nini kufuatia mchakato wa uchaguzi ndani ya chama tawala cha (ANC) uliofanyika Afrika Kusini mwanzoni mwa wiki hii kumpata kiongozi wa chama hicho.

Nape.jpg

Chama tawala cha African National Congress (ANC) kilikuwa na uchaguzi wa ndani kumtafuta kiongozi wa juu ya chama hicho ambapo kulikuwa na zoezi la uchaguzi na nafasi hiyo kugombewa na wananchama wa chama hicho na kupigiwa kura, ambapo mwisho wa siku Cyril Ramaphosa aliibuka mshindi kwa kura nyingi zaidi dhidi ya Nkosazana Dlamini-Zuma hivyo Cyril Ramaphosa kutangazwa Rais wa (ANC).

"Tunajifunza nini kwa mchakato uliopelekea kupatikana kwa Cryll Ramaphosa kama Mwenyekiti wa ANC!? Alihoji Nape Nnauye

Nape%20Nnauye_0.jpg

Uchaguzi wa Chama tawala nchini Afrika Kusini (ANC) ulitofautiana na uchaguzi wa Chama Tawala nchini Tanzania ambapo Mwenyekiti wake alipatikana kwa kupigiwa kura ya Ndiyo au Hapana wakati Afrika Kusini nafasi hiyo iligombewa na mtu zaidi ya mmoja.
Alaf mjue NAPE NNAUYE anakipenda sana chama kuliko serikali,najua anamiss kufanya kazi na KINANA
 
huyu nae...
akafie mbali uko na goli lake la mkono!
 
Kila chama kina taratibu zake na ndo maana Mbowe kawa mwenyekiti kwa miaka 14 sasa!
Taratibu za kitanzania. Nyerere alikula karibu 24, CCM Chama dola sasa hivi ni 10 (5X2) kuendana na katiba ya Tanzania, wengine mpaka wanapochoka labda na wao wakishika dola watakuwa kama CCM. Shida tupu. Hakuna wa kumcheka mwenzake ingawapo kila mmoja huona .....lamwnzake lake ......halioni. Kuna walioanza kushenzika wameanza kufikiria 7 badala ya 5 kwenye dola.
 
Kwani Zuma alipogombea uenyekiti wa ANC kwa muhura wa pili wakati akiwa Rais wa Afrika Kusini alikuwa na mpinzani? Nape hana hata political logic ya chama chake? Katiba ya ANC imesukwa kwa namna ambayo wagombea wa ukuu wa chama (the SA republic president in waiting) hushindana kupata the strongest candidate kuwa mkuu w chama ambaye mwaka mmoja baadaye huchukua nafasi ya urais iwapo chama chao kimepewa ridhaa ya kuongoza jamhuri. SA wanatumia PR electoral system. Hawa waliokuwa wanashindana ilikuwa kama CCM inavyoshindanisha wnanchama wake kupata mgombea urais (a party chairman in waiting) mara baada ya muhura wa rais aliyeko madaarkani kuisha. Kwa hiyo, kwa mantiki, mfumo wa CCM na ANC hautofutiani. Ni wazi Nape ni kilaza tu.
 
Back
Top Bottom