Nape ni jasiri wa kisiasa

Alifikiri kuw mzigo ni kazi kubwa au ? Kujitakia!! Leo miezi 6 6 amechems bigtime amekuwa zigo lisilobebeka....kisingizio anasem hataki TBC imfie! Ka ameshajua hilo si atoke apishe wenzake wenye ubunifu??? Sio lazima yeye!!! Akajiuguze pembeni!!
 
Nape anastahili kuwa 'kijana wa taifa'.

Maskinii Tanzania!!! Ndo ina watu wenye uelewa huu kweli?!? Mungu wangu naomba uiponye nchi yangu..... Inawezekana kabisa kichwa hiki ndo kimefunguliwa kutoka mirembe leo
 
Nape ni miongoni mwa vijana wachache wenye misimamo thabiti
Nakumbuka baada ya agenda ya kujivua magamba ndani ya CCM, alishupalia waovu wote waondoke ndani ya CCM, na mojawapo alikuwa fisadi papa (kwa mujibu wa chadema) mzee Lowasa.

Nape aliendelea kushikilia msimamo mpaka leo na kesho. Big up Nape!
ugonjwa huu unasumbua sana tanzania, udumavu wa akili.
 
Nape ni miongoni mwa vijana wachache wenye misimamo thabiti
Nakumbuka baada ya agenda ya kujivua magamba ndani ya CCM, alishupalia waovu wote waondoke ndani ya CCM, na mojawapo alikuwa fisadi papa (kwa mujibu wa chadema) mzee Lowasa.

Nape aliendelea kushikilia msimamo mpaka leo na kesho. Big up Nape!

Halafu kwenye kampeni wakina Mbowe wanasimama eti " Mzee umesemwa sanaa kwa ufisadi" amesemwa na kina nani kama sio wao
ImageUploadedByJamiiForums1463263651.109112.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1463263669.093289.jpg
 
Nape ni miongoni mwa vijana wachache wenye misimamo thabiti
Nakumbuka baada ya agenda ya kujivua magamba ndani ya CCM, alishupalia waovu wote waondoke ndani ya CCM, na mojawapo alikuwa fisadi papa (kwa mujibu wa chadema) mzee Lowasa.

Nape aliendelea kushikilia msimamo mpaka leo na kesho. Big up Nape!
world cup 2010 south afrika vuvuzela lilikuwa maarufu sana!
 
Mambo anayosema yote hayajatekelezwa!gamba halikuvuliwa,wala mizigo haikutuliwa,badala yake na yeye ameenda kuongezeka kuwa "LIMZIGO"
 
Nape ni miongoni mwa vijana wachache wenye misimamo thabiti
Nakumbuka baada ya agenda ya kujivua magamba ndani ya CCM, alishupalia waovu wote waondoke ndani ya CCM, na mojawapo alikuwa fisadi papa (kwa mujibu wa chadema) mzee Lowasa.

Nape aliendelea kushikilia msimamo mpaka leo na kesho. Big up Nape!
Anajiandalia uzee wenye taabu nyingi na mateso. Mwacheni afurahishe nafsi yake kama kiongozi. Lakini siku za kutawala zinahesabika kama ilivyo ujana.
 
kama leo nape anaitwa kjana jasiri wa taifa, haiitaji degree kujua 2lipo na 2napokwenda
 
Back
Top Bottom