Nape, Nchemba na Lusinde ndani ya Mwanza

...ati wanakuja huku Mwanza?...ngoja kwanza ncheke haaa!..haaa...haaa uuuuhiiii...huku Mwanza hao watu tulsha wakataa kwa nini hawasikii,kwaufupi ni kwamba mmepotea njia labda kama mnapita mnaenda Singida...
 
Kama Mchemba moja wapo, ndo naisikia yupo huko sasa, nawasiliana na jamaa zangu waangalie wake zao, maana huyu jamaa posho yake inaishia wa wake za watu kama hana wa kwake vile.
 
Duh huyu Mwigulu akizunguka kote ataiweka cdm pabaya.mlioko Mwanza mtasadiki nilivyowambia dogo huyo anangekewa ya mvuto kama ni kweli yaliosemwa ndio maana mdada alijisalimisha.Hapa mwanza nilikuwa nakula mgahawa mmoja jamaa gumzo kweli.
 
Hata mtu akikaribia kufa huwa anarusha miguu. CCM hawana tofauti na mtu anayekufa akirusha miguu!
 
Duh huyu Mwigulu akizunguka kote ataiweka cdm pabaya.mlioko Mwanza mtasadiki nilivyowambia dogo huyo anangekewa ya mvuto kama ni kweli yaliosemwa ndio maana mdada alijisalimisha.Hapa mwanza nilikuwa nakula mgahawa mmoja jamaa gumzo kweli.
Atakua anakuvutia wewe.
 
Hii mikutano ya ccm haina faida kwa wananchi wa Tanzania.

Wanajiandalia mazingira ya posho. Uhuni mtupu.
 
Back
Top Bottom