Nape kwa hakika siasa umeidrakatumba

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Brother umeidharaulisha siasa,unapelekea ionekane kuwa sasa politiki ni uongo kabisa japo huwa hakuna uhakika kuwa ni uwongo.

NAPE umemtusi sana Fisadi EL ati leo unakuja kukaa nae jukwaa moja kama si unafiki na kujikomba itakuwa nini, ama EL siku hizi yaonekana keshakuvuta, nimekudharau sana nape na mageuzi yako mufilisi ya gamba ambayo Umemshindwa El, unapigia debe ilhali mpaka sasa ktk ccm mhanga wa movement yako ni mmoja tu Kilume Ng'enda.

Otherwise yaonekana ccm mnataka kutusanii wana arumeru na kutufanya mabwege we na Lowassa wako.

KWA TAARIFA TU HIYO SINGO YA COLABO WEWE NA EL LEO INAMMALIZA SIYOI NA TEGEMEA MAKOMBORA MTAKAYOYAPATA MUDA WA KUFLUSH UTAKUWA UMEPITA KUFIKIA JUMAPILI!
 
Mkuu kiongozi wa magamba unayeweza kumuamini ni yule dead magamba leader!
 
We unamjua leo? Tuulize sisi UVCCM tumekaa nae tunamjua fika huyo na bado hapo ngoja ifike 2015 EL atakapopewa ridhaa na chama kupeperusha bendera kwa kiti cha urais utamjua vizuri.
 
Poleni sana CDM, mlifikiri Nape hataenda Arumeru, sasa mmemuona! Mlikuwa mnasema hathubutu kwenda....sasa amethubutu!

Nawasubiri mje na kingine!!
 
Dalailama ndugu yangu ccm hamna kitu. Kilichopo ni kundi fulani hivi la kisani linalolinda maslahi yao binafsi. Mungu ataumbuwa siku si nyngi, vuta zubira uone. Asante kwa kuleta hoja mezani!!!d
 
Hapa hatujadili kwenda kwake Arumeru,tunajadili unafiki wake,alichokua anakipinga na kuwaaminisha watanzania ni tofauti na anachokitenda,ili suala si cdm,cuf au tlp ndio wanao ona kumbe Nape ni mp**** na mnafiki,bali hata wale wana c.c.m walio makini katika tafakuri,ila kwa wala wana c.c.m washadadiaji na wafuata mkumbo bila uwezo wa kuhusisha kichwa katika kufikiri,ndio mtaleta hoja nyepesi kama poleni sana wana c.d.m!so far Nape hana athari yoyote kwa C.d.m ila anazidi kudhiirisha ni aina gani ya viongozi ambayo .c.c.m ya sasa inayo tofauti na ile ya Mwl Nyerere
 
Ndugu zangu hizo ndio siasa.
Linapokuja swala la maslahi ya chama, watu wanaweka akili pembeni kwa muda. Kwan hamkumuona JK wakati wa kampeni za 2010, alivyokuwa anawapigia kampeni kina EL, Mramba, Chenge, RA ... wakati anajua kuwa wanatuhuma na wengine serikali yake ilikuwa imeshawapeleka mahakamani.
Mimi nangoja hii drama nione itakavyokuwa, kwani nilijua kuwa ipo siku itatokea, na siku hiyo ndio hii.
 
Ameamua kula matapishi ya fisadi, sasa anamkambenia mkwe wa fisadi wa RICHMOND
 
Nape ni kiongozi mzuri na anaijua siasa
Mafisadi na wapinzani mwamtambua
OTIS
 
Nape huyu huyu ndiye aliyesema kuwa Sioi sio raia na leo hii anampigia debe mbele ya mkwewe!! ccm ndio walivyo mwaka 2005 Nape hakuwa kambi ya JK na hata mara baada ya uchaguzi bahati yake Mangula alimpeleka India kusoma ama sivyo wakinaNchimbi walidhamilia kummaliza!! Hata hivyo wanamlia timing tu wakati muafaka ukufiki they will paunce!!
 
Mfuko wa EL ni mkubwa sana, Nape keshalamba bingo yake hana wasi wasi ataanza kumsifia EL kama afanyavyo Pasco wa JF.
 
Hawo ndio wanaokuja kummaliza huyo mgombea wao, kama angekuwa ana uwezo angewakataa wasimfanyie kampeni, hebu pata picha unamwita Idd Amin aje akufanyie kampeni enzi zile, je ! angekutafutia kula au angekufukuzia kula?
 
Back
Top Bottom