Nape kama El Sahaf!

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
Nadhani wana Jf wenzangu mnamkumbuka El Sahaf, Yule waziri wa propaganda wa the then Iraq, Alikuwa akisema ati! Wanajeshi wa Iraq wanawazunguka NATO wakati nyuma yake kuna vifaru vya NATO na vinaonyeshwa jinsi vinavyo isalimisha Iraq mikononi mwao,lakini yeye alikuwa anasema ati, ni mbinu za kivita na wanawazingira NATO!

Nape, ambaye watu wengi tulimuona kama mtu atakaye changia kwa asilimia kubwa mabadiriko ndani ya CCM ameuvaa uhusika kamili wa El Sahaf, Wanachama wanahama yeye anasema wamepoteza mvuto, kweli sasa inabidi Nape aitwe El Sahaf, maneno mengiii! 95% hayana ukweli, Hebu uache u-El Sahafu upate fahamu na ufunguke kisha uelewe kitu gani kinachotokea na ni kwa sababu gani, labda unaweza ukachangia mabadiriko ya ukweli kwenye chama chenu,

Acha u-El Sahaf Nape.

Nawasilisha.
 
Wadau, Nape anaujua ukweli na kwa watu wake wa karibu anakiri jinsi hali ilivyo tete ndani ya chama chake, kauli anazozitoa saizi ni katika kulinda kibarua chake kinachompa dailybread vinginevyo angeshajiondoa! Inasemekana anafikiria kujiunga na timu ya washindi cdm ila anakosa gia ya kujiunga coz anaona taabu/aibu ya kukana kauli alizowahi kuzitoa huko nyuma za kuibeza chadema.
 
mtu muoga ni muongo. Nape ni coward namba moja that why ansema uongo.
Kuna kipindi wanachama 1005 wa CCM waliamia Cdm alafu badala ya CCM kuchukua hatua madhubuti eti wao wanatunga habari kuwa wanachama 438 wa CDM wameamia CCM.
Nape achana na layman solutions otherwise CCM mtakuwa mnajitekenya wenyewe alafu mnacheka wenyewe.
A coward is a liar.
 
Back
Top Bottom