Nape awapiga vijembe CHADEMA

Nape kwa taarifa yako Afrika Kusini hawachanganyi siasa na biashara, ile ni nchi ya kibepari hakuna mfanyabiashara hata mmoja atakayekuja bongo kuuza sura na chama kilichochoka. Tofauti ya Nape na Mwigulu ni kuwa Mwigulu kidogo kitabu kipo only amechanganyikiwa na siasa za Meru but Nape kichwa maji kabisa.
 
haache polojo mbona wao waliomba pamoja na kuchota mipesa ya epa, ni fulsa gani wanazitumia wakati jk alikuwa anawalalamikia wenyeviti wa sisiemu kuwa wanabweteka na kutegemea ruzuku?:cool2:
 
Huyu bwana vipi hii nayo ni hoja ya kujivunia si sawa tu na jk kwenda kufungua benk ya watu wa mombasa mtaji wao haufiki milion 100,sasa wafanta biashara wa ANC Ndo wataleta maji kasulu au Isman? tafuta cha kushabikia sio huu upuuzi
 
Nape huna jipya,ata apo ulipo nimbeleko!apa upawezi huna unalo faamu una bwatukatu,hujui kuje oja,kiama chako kinakuja.
 
CCM haina biashara halali hata moja. Wameuza kila kitu na sasa wanauza wake na watoto zao. Toka lini chama kikawa na urafiki na wafanyabiashara?. Madudu ya CCM yatatufikisha kushikiana bunduki wenyewe kwa wenyewe muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom