Nape anaipeleka wapi ccm

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
2,045
547
dhamira yangu inanituma kuuliza kila siku niamkapo asubuhi nape anaipeleka wapi ccm,ukiangalia ziara zake zimedhihirisha upungufu fulani sijui ni ama hakubaliki na baadhi ya wanachama wake au kwa kuwa naye amepewa cheo kwa sababu ya historia ya familia yao anatimiza wajibu mambo yaende .ona leo kaandaa mkutano anataka kuonyesha tambo gani ,ukizingatia hiki chama kiliahidi mambo mengi kwa wananchi wake na asilimia kubwa utekelezaji wake bado leo anaiga cdm kufanya kile inachofanya .lakini tusiongee sana pengine amepewe baraka na wana ccm wenzake .maswali ni mengi kuliko majibu kuhusu mkutano huu .
 
[h=2]
icon1.png
ccm kuanzisha al shabab mikoa ya pwani[/h]
KATIKA HALI YA KUWAGAWA WATANZANIA CCM IMEANZA KUWATUMIA BAKWATA KUWAGAWA WANANCHI.WAZIRI WA ELIMU NI MUISLAM MAKAMU WA RAIS MISLAM KATIBU ITIKADI CCM NI MUISLAM,RAIS WA NCHI MUISLAM MKUU USALAMA WA TAIFA NI MISLAM SASA VP LEOBAKWATA WASEME WANA FELISHWA HIZI NI MBINU CHAFU ZA CCM KUWATOA WANANCHI KWENYE WIMBI LA MAGEUZI YA KISIASA NA KUIINGIZA UDINI KWENYE JAMII NI HATARI NA NI LAANA KWA HAWA WANAMTANDAO HUU TUNASEMA ILI TANZANIA IWE NA AMANI 2015 CCM LAZIMA IONDOKE ISITULETEE MAAFA.WAMEANZA UAMSHO NA HAKUNA KARIPIO KALI LILILOTOLEWA KUONESHA CCM INAVYOHUSIKA VILIVYO KABLA YA UCHAGUZI 2015 WASHINDWE WALEGEE NA WASAMBARATIKE.MUNGU IBARIKI TANZANIA:confused2:​
 
Sisi tunataka aiue ccm, we unahoji kwanini aiue? Kama huna vuguvugu la mageuzi kaa kimya,,unamstua wa nini sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom