Naota misiba Sana

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
304
1,096
Wakuu hii so Mara ya Kwanza

Ninaota ndoto za msiba Mara kwa Mara hii Hali inanitisha Sana hapa nimestuka saivi mapigo ya moyo yanakwenda Kasi Sana....inakuwaje hii Hali naota tukio Zima mpka mtu anapozikwa...

Au ni Mimi nataka kufa? Anayejua tafsiri ya ndoto ya mtu kufa Ila asiwe yeye ndio anakufa anijuze...

Kuna siku nimemuota rafiki was utotoni Sana ambae tumepotezana miaka mingi iliopita na nakuwa rafiki wa karibu Bali ni mtu yupo kwenye akili yangu.
 
achana na myths, stick to science
 
Hapo vp
 
Attachments

  • IMG_20230812_085913.jpg
    IMG_20230812_085913.jpg
    31.8 KB · Views: 3
HAPO NI MAOMBI KWA KUTUMIA JINA LIPITALO MAJINA YOTE JINA HILO NI YESU KRISTO

PEPO,MAJINI, MIZIMU WANALIFAHAMU VIZURI JINA LA YESU MZIKI WAKE NI MZITO SANA LIKITAJWA HILO JINA LITUMIE UTALETA MREJESHO HAPA.
 
Wakuu hii so Mara ya Kwanza

Ninaota ndoto za msiba Mara kwa Mara hii Hali inanitisha Sana hapa nimestuka saivi mapigo ya moyo yanakwenda Kasi Sana....inakuwaje hii Hali naota tukio Zima mpka mtu anapozikwa...

Au ni Mimi nataka kufa? Anayejua tafsiri ya ndoto ya mtu kufa Ila asiwe yeye ndio anakufa anijuze...

Kuna siku nimemuota rafiki was utotoni Sana ambae tumepotezana miaka mingi iliopita na nakuwa rafiki wa karibu Bali ni mtu yupo kwenye akili yangu.
R.I.P

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
HAPO NI MAOMBI KWA KUTUMIA JINA LIPITALO MAJINA YOTE JINA HILO NI YESU KRISTO

PEPO,MAJINI, MIZIMU WANALIFAHAMU VIZURI JINA LA YESU MZIKI WAKE NI MZITO SANA LIKITAJWA HILO JINA LITUMIE UTALETA MREJESHO HAPA.
Walokole mnanifurahishaga sana mbwembwe nyingi sana yaani sala inakuwa kama ugomvi.

Kuna haja gani ya kuanza kulishindanisha jina la Yesu na mizimu au mapepo?

Kama ni muweza basi ni muweza tu haina haja ya kupoteza muda kutaja vitu vyingine visivyohusika.
 
Back
Top Bottom