R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,138
Mzanibari pamoja na makando kando yake ila akiingia huwa kuna unafuu katika demokrwasia (hatujawai kuwa na demokrasia kamili)
Tunapotoka kwenye awamu za uminyaji wa demokrasia basi mzanzibari akiingia ndio tunapata nafuu ya demokrasia kuanzia uhuru wa kutoa maoni, Vyama vya upinzani hupewa nafasi, vyombo vya habari vinakosoa, n.k.
Nyerere katika utawala wake, uhuru wa maoni ulikuwa mdogo sana, ndio maana ni ngumu kukuta habari zake alipokosea, Kina samuell Sitta spika msataafu alishawai kuchapwa viboko kama mtoto kwa kumkosoa tu.
Mkapa nae kwenye suala la uhuru wa maoni ulikuwa mdogo, hakuvumia kabisa mambo ya upinzani
Magufuli alishabana demokrasia magazeti yakikosoa kidogo tu fungia, Wapinzani hiki kipindi walionekana kama wavamamizi katika nchi yao, wasiojulikana walishamiri.
Mtu pekee kutoka bara ambae alikuwa na nafuu ni Kikwete tu.
Ila ukiangalia pia mzee wa ruksa uwanja wa demkrasia aliufungua yeye na kuruhusua kuwepo mfumo wa vyama vingi, nae huyu mama ana mambo yake lakini uhuru wa demokrasia upo na ndio maana hata humu jamiiforums watu wanatoa maoni yao kwa uhuru si kama kipindi kilichopita ilifikia kipindi jamiiforums ilitaka kufungwa,