Naombeni ushauri wanajamvi

ENC

Member
Jan 1, 2014
23
3
mm ni mvulana nina mchumba wangu huu ni mwaka wa 4 yy ni mfanyakaz serikalini mm nimehitimu diploma ya ualimu 2013 may nimefaulu na nasubilia post. mwaka jana mwez january alipata safari kikazi hivyo aliniomba aniachie atm yake ili niweze kuwahudumia mzaz wake kwakuwa baba mkwe amefariki mwez mmoja baada ya mm kwenda kujitambulisha na nkahaidi kupeleka mahari mwaka huu. nilimkubalia aniachie wakati huo mm nilikuwa mwaka wa mwisho chuon2013 pia aliniomba nimhamishe mdogo wake aliyekuwa anasoma shule ya kata kijijin kwao nimtafutie private hapa mjin arusha na nkafanya hivyo nilipo maliza chuo may 2013 nilirudi kukaa na shemeji yangu huku akiendelea na masomo yake nami naendelea kumfundisha wakati wa jion na kutoa huduma stahiki kwa mama mkwe kijijin na mdogo wake hapa arusha kumbuka nimevunja mkataba wa kufana kaz tabora nilipokuwa nafanyakaz awali kabla sijaenda chuo na tulikubaliana na mwajir wangu nikimariza chuo nitaenda kuendelea kufundisha wakati na subiri post lakn kwakuwa mchumba angu kaniomba nikae na mdogo wake na kuisaidia familia yake kiujumla kwa mshahar aliouacha lak 5. mwaka jana mwez wa 8 alituma dollar 900 nizichenji ili niziweke kwenye akauti yake ya posta. mm nili mwambia mdogo wake kuwa hiyo hela itakuwa mkomboz kwani maisha tuliyokuwa tunaishi kutokana na kuniachia majukumu mazito kila mwez nilikuwa namtumia mama mkwe hela bado hatujala dogo kila mwez hela ya usafiri wa busi la shule hela yake ya matumizi hatujalipa michsngo ya umeme maji taka usafi pango kwenye nyumba ya kupanga kwakweli nilikuwa navuja jasho mm sina kaz nilizunguka kutafuta ajira nikachoka nikaamua nikae tu.Na mwez wa tisa mwaka jana tulikwenda na huyo shemeji yangu kijijin kwenda kuhitimisha msiba wa baba mkwe ni shughuri iliyoambatanisha na sherehe za kimila na ujenz wa makaburi 11 Mawili tulijenga kwa marumaru mm na ndiye nilikuwa msimamiz mkuu badala ya mchumba angu kwan kwao mwrnye uwezo ni yy hivyo shughur nzima ilinighari 1.2m hivyo hata zile dollars alizotuma nilizitumia kwenye shughuri hiyo na nilikuwa namshirikisha mdogo wake kala hatua ya matumizi ya pesa ya kila mwez na kuweka kimaandidhi. sasa yy anarudi mwez ujao toka huko ulaya. jana niliamua kumuweka waz juu ya zile dollar alizoniagiza niziweke banki na mm nimetumia kwan bila zile shughuri ilikuwa pevu kwao kwan ndugu zake wote walikuwa wananitozama mm nilioachiwa pesa za nduguyo. cha ajabu ananitaka akirud azikute pesa zake bank haijalishi nimetumia kwenye shughuri ya kwao au la na kasitisha mawasiliano na hataki tena nakampokee airpot dar. jaman nifanyeje
 
U did a mistake kwa sababu ulitoka nje ya maagizo ya huyo mkeo kwa kuchukua dollars,tubu mvulana kwa kupiga magoti
 
Dah! Nakuonea huruma ya hasira!! Bora ulivyosema kuwa wewe ni mvulana na c mwanaume! Mwanaume wa ukweli hafanyi hayo maujinga! Yani zombie ! zombie!
 
Dah! Nakuonea huruma ya hasira!! Bora ulivyosema kuwa wewe ni mvulana na c mwanaume! Mwanaume wa ukweli hafanyi hayo maujinga! Yani zombie ! zombie!

Kamata like kupitia kisimu changu cha mkorea.
 
Haki ya nani kuna wanaume naturally wameumbwa kulelewa na wanawake ! We mmoja wapo! Mwenzio kakukabidhi hayo madola ukamtunzie anamaana yake wewe umejifanya kidume eti uonekane ukweni kuwa nawewe unazo ! Uzinye sasa pesa za watu!! Kiruuu!!
 
Ukute na hiyo mahari ulitegemea kupewa ndo upeleke kwa hao unaowaita wewe et wakwe zako looh! Samahan lakn ni mawazo huru khaaa!
 
Hahahah yaani kati ya siku nilizocheka ni leo...

Wavulana bana!!!
 
Kwani haukuwa unamshirikisha huyo mchumba wako juu ya matumizi uliokua unayafanya kutoka kwenye hizo hela alizokutumia? Na je anajua kama wewe huna kazi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom