Wapendwa merry Christmas,
Jamani mimi naombeni ushauri maana Kuna jambo limenishinda kulifanyia maamuzi.
Mimi nimeolewa na nina watoto wawili, tumeishi na mume wangu kwa miaka kadhaa, Mme wangu ni mwajiriwa serikalini na mimi nilikua bado sijapata kazi, lakini miezi kadhaa iliyopita nilipata kazi katika kampuni binafsi japo kiukweli wanalipa mshahara kidogo sana.
Sasa nawaza kuacha kazi Ili nibaki tu kuendelea na majukumu ya nyumbani, mme wangu kaniambia niamue mwenyewe, lolote nitakalo amua yeye hana tatizo, ukweli Mme wangu sijawahi kupata tetesi zozote kuhusu kucheat, ni mtu anayejielewa na ni mcha Mungu.
Sababu za mimi kutaka kuacha kazi Moja ni kuwa kwasasa tunaishi mbalimbali, Cha pili kuna kamradi nilikua kakasimamia ila Sasa naona kanayumba coz aliyewekwa Kuna mda anafunga biashara na kwenda kwenye matembezi yake sababu ni kijana.
Jamani ushauri wangu naomba ni Je, ni sahihi kuacha kazi, pia kumbuka take home ya mshahara haizidi laki tatu.
Ahsanteni.