Naombeni ushauri, nampenda mke wangu lakini...

baba nunu

New Member
Sep 11, 2013
1
0
Habari za hapa,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 na nipo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka 2 sasa, kikazi naweza kusema ni fundi ambae muda mwingi huutumia ktk laptop (yaani kukaa kwa muda mrefu kitak0) huwa mara kwa mara napata maumivu ya mgongo pamoja na kiuno, labda kutokana na kazi zangu.

Hivi karibuni katika kufanya mapenzi na mke wangu imenitokea kitu cha ajabu kwanza naweza kaa wiki nisitamani kukutana nae kimwili na wala sio kama simpendi, tunapendana saaana, na siku tunayokutana kwanza jamaa hapandi mzuka hasimami, yaani na akisimama huchukua muda, na pia ipe nikianza kuweka tu basi tayari natoa mbegu, bila kumfikisha wala mimi kuridhika na tendo, na wakati mwengine tuko katika foreplay wala jamaa hajasimama nakua niko tayari kumwaga.

Hivi inaniumiza kichwa nashindwa kufahamu jee kuna ushauri wowote tafadhali changia niko ktk hali mbaya.

Naombeni mawazo na ushauri wenu tafadhali.
 
pole sana ndugu yangu, unatumia vyakula vya aina gani hasa?,.
 
acha kula chipsi, stop your addiction to work mpaka unasahau wajibu wako wa kukaa na kuchekeshana na mkeo hata kwa story za kitoto.
 
pole mkuu hebu jaribu kufanya mazoezi ya mgongo unaweza uka google ukaangalie low back exercise ninavyoona tatizo la mgongo likiisha mambo yote yatakwenda barabara au uende hospital uonane na physiotherapist atakusaidia kwa mazoezi haya.
-Kumbuka mgongo ni kila kitu kwani mtu mfano akipata shida kubwa ya mgongo hata choo au mkojo vinaweza kutoka hata yeye bila kujua,tibu mgongo kila kitu kitakuwa safi fimbo ya Haruni itachipuka kama mwanzo.
-Pia usiwaze sana kuwa hilo ni tatizo kubwa hii itakupa stress na ukishakuwa stressed hutapaform kitandani.
-Sala na maombi huwa pia jibu la mambo yote.

Je kuna neno gani lililogumu la kumshinda Bwana.
 
hilo tatizo lipo akilini mwako , kwanza kwako mapenzi yamekuwa boring na kazi zinakuchosha na zaidi umeshaiset akili yako kuwa mwisho au ultimatum enjoyment ni wakati unatoa wazungu,,,,,,,,, hivyo basi chukua kalikizo msafiri kidogo kubadilisha mazingira na huko ukafufue kufanya kwenu mapenzi.........
 
hapo labda ueleze zaidi, laptop huwa unaiweka wapi na huwa unafanya nini cha ziada humo
1. kama laptop inakuwa karibu sana na sehemu zako za siri, lile joto lina madhara sana,wataalamu wanasema, sana sana kwenye sperms, japo sina uhakika sana kwenye nguvu,jaribu kufuatilia
2.unapenda kuangalia porn?kama muda mwingi upo kwenye laptop na unapenda porn achana nazo kabisa, porn zina madhara sana kisaikolojia. unaweza ku-google uone mazoea ya kutazama porn yanavyopelekea kutopata erection.
kama haya mawili hayahusiki, jaribu kuwaona wataalamu.
 
Habari za hapa,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 na nipo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka 2 sasa, kikazi naweza kusema ni fundi ambae muda mwingi huutumia ktk laptop (yaani kukaa kwa muda mrefu kitak0) huwa mara kwa mara napata maumivu ya mgongo pamoja na kiuno, labda kutokana na kazi zangu.

Hivi karibuni katika kufanya mapenzi na mke wangu imenitokea kitu cha ajabu kwanza naweza kaa wiki nisitamani kukutana nae kimwili na wala sio kama simpendi, tunapendana saaana, na siku tunayokutana kwanza jamaa hapandi mzuka hasimami, yaani na akisimama huchukua muda, na pia ipe nikianza kuweka tu basi tayari natoa mbegu, bila kumfikisha wala mimi kuridhika na tendo, na wakati mwengine tuko katika foreplay wala jamaa hajasimama nakua niko tayari kumwaga.

Hivi inaniumiza kichwa nashindwa kufahamu jee kuna ushauri wowote tafadhali changia niko ktk hali mbaya.

Naombeni mawazo na ushauri wenu tafadhali.

mkuu pole sana kutokana na tatizo ulilonalo. Nakushauri usipende kuweka laptop kwenye mapaja kama unatabia hiyo kwani lile joto lake si zuri linapokuwa karibu na sehemu zako za siri. Vinginevyo muone daktari kwa ushauri zaidi
 
kama ni mtazamaji wa porn acha..... Nimesoma article fulani kwa watu ambao wako addicted na pornography huwa inafika kipindi wanashindwa kusisimka wawapo na actual partners wao. Pia usiliwaze hilo wakati wa tendo kwani litakujaza hofu na kupelekea mambo kujirudia.pia jaribu kumshirikisha mkeo hii itakupa confidence na kukuondolea woga wa kutokumridhisha kwani naye atakuwa analijua tatizo.
 
Maumivu ya kichwa huanza polepole, muone daktari haraka, lasivyo nahisi harufu ya kugongewa hapa, utaisoma bro!
 
daaah! Pole sana mkuu ila hapo jaribu kutazama sana katika mambo makuu matatu,
1.kama ni mtu wakushnda sn na laptop epuka kuipakata mapajani, k/sababu inamadhara hasa katka mfumo mzima wa uzalishaji mbegu(spermatogenisis)
2.tizama na aina ya chakula unachokula, epuka sana chips mayai hasa mayai ya kisasa, soda na juice..vyote hv vinachemical ambzo huchangia mvurugiko mwil hasa wa hisia
3. Mazoezi mkuu hl ni lamuhm sana hasa ukizingatia unatumia muda mwing ukiwa umekaa kitako, hvyo kusababsha mzunguko wa damu kua washida nahasa sehemu nying nyeti na muhm kutofikiwa na damu ipasavyo.
 
Nenda hospitali!
Definetely daktari atakufanyia vipimo vya Hormones
1. Testosterone- Kama ukiweza kucheki Total Testosterone na Free-Testosterone (hii ndiyo inayoleta nyege/mzuka).
2. Cholestrol- Daktari atakupima cholestrol kuangalia je kwenye damu kuna cholestrol kiasi gani, cholestrol( ile inayoitwa bad cholestrol) huziba mishipa na hivyo kusababisa damu isiende kwenye penis fresh
3. Estradiol- hii ni aina ya oestrogen hormone, kama kwako mwanaume imekuwa juu kuliko range husika inaweza kusababisha low libido na hii husababishwa na vyakula vyenye chemicals ya viwandani "vya kusindikwa", Pia maji ya plastic bottles tunazokunywa, plastic ikipigwa joto kuna plastic inayeyuka na compound zake zina mimick oestrogen hormone
4. Stress inashusha Libido, punguza mda wa kukaa na computer uwe unapumzika.
5. Matatizo ya kisaikolojia, ugomvi , maudhi, hali ya kuogopa kwamba utamtimilizia shemeji au hapana, cha msingi hapo muombe shemeji akusaidie, mueleweshe akusaidie mlitatue hilo tatizo wote, usilibebe peke yako.
6. Pombe na Sigara, Sigara ina effect blood veins. kama unakunywa na kuvuta acha ndugu urudishe heshima ndani
7. Acha Masturbation kama unapiga, inaudanganya ubongo kuhusiana na mwanamke (reality), na mkono (falsehood) kwa hiyo inachanganyikwa katika kuuamrisha mwili

Cha kufanya
1. Sali na Muombe MWENYEZI MUNGU akusaidie
2. Nenda hospitali tena mtafute specialist, siyo daktari wa kawaida kawaida, Urologist atakufaa
3. Mshirikishe shemeji na muombe akusaidie
4. Anza kufanya Mazoezi, nenda gym, fanya jogging ,beba vitu vizito etc.
5. Yaogope Mafuta mengi katika chakula, unaweza kutumia mafuta kwa kiasi mno, lakini jitahidi kuyakwepa kadri uwezavyo na hii iwe habit ya maisha yako (simaanishi usitumie mafuta kabisa).
6. Tafuta PDF online ya kitabu kinachoitwa the secrets of the subconscious mind online ni bure, kitakueleza kuwa unavyoiprogram mind yako kwa kile unachoamini humtokea mtu, kwa hiyo anza kujiambia kwamba unaweza kumpa dozi shemeji tena kwa kuamni kabisa, utashangaa mwili unasubmit kwa will yako na hivyo kumgegeda shemeji kisawasawa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom