Naomba ushauri juu ya ufanisi wa drilling rig zinazouzwa Alibaba

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,462
3,211
Itifaki ikiwa imezingatiwa, rejea kichwa cha habari.

Ndg zangu ktk jitihada za kupambana huku shambani nakwamishwa na ukosefu wa maji.

Nimejaribu kueasiliana na wachimbaji wa visima virefu, bei zao zinaweza kuzidi urefu wa mlima Kilimanjaro.

Katika kuzuru huku na huku nikakuta sana za kazi: drilling rig zinauzwa soko la Alibaba kwa bei ninayoona naimudu.

Kabla sijajilipua, je zana hizo zina ufanisi?

Nahitaji angalau lita 100k kwa wiki.

Karibuni kwa mawazo
 
Zipi sasa maana Rigs zipo nyingi za mchina zipo ndogo zinazovutwa na diesel engine pia zipo zinazokotwa na majenereta na zipo truck driven rigs.

Anaway angalizo ni kwamba mchina upate trusted suppliers ambao hata vipuri pia watakuuzia hao hao.

La pili ni kwamba utapata kwa bei chee na kama ilivyoada utatumia kwa muda mfupi rigs itakuwa haitamanimi ila hela itakurudishia. Mimi natumia vifaa vya mchina na naviagiza kwz iyo nakwambia kitu ninachokijua.

Utanunua bidhaa yao utapigia kazi ila usitarajia lifespan kubwa ya bidhaa u mashine zao japo zinalipa na zinasaidia. Wao wana sera ya kukuuzia kitu utumie kukurudishie hela kichoke ukanunue tena.
 
Shukrani kwa mchango wako! Nauluzia zile ndogo. Lengo ni kupata kisima, takribani 100 m, ujasiriamali si dhumuni la msingi
 
Shukrani kwa mchango wako!
Nauluzia zile ndogo. Lengo ni kupata kisima, takribani 100 m, ujasiriamali si dhumuni la msingi

Wacheki Sunmoy drilling rigs mkuu. Naamini mzigo huo utakufaa huwezo juta. Uchimbaji mdogo wa 100M deep inachimba hiyo na unafunga pump hata zile za kizamani za mkono.
 
Attachments

  • 1697283986946.jpg
    1697283986946.jpg
    97.8 KB · Views: 11
Shukrani kwa mchango wako!
Nauluzia zile ndogo. Lengo ni kupata kisima, takribani 100 m, ujasiriamali si dhumuni la msingi

Wacheki Sunmoy drilling rigs mkuu. Naamini mzigo huo utakufaa huwezo juta. Uchimbaji mdogo wa 100M deep inachimba hiyo na unafunga pump hata zile za kizamani za mkono.
 
Wacheki Sunmoy drilling rigs mkuu. Naamini mzigo huo utakufaa huwezo juta. Uchimbaji mdogo wa 100M deep inachimba hiyo na unafunga pump hata zile za kizamani za mkono.
Ubarikiwe sana ndg! Nimepata mwanga
 
Back
Top Bottom