Naomba ufafanuzi wa uhusiano wa uumbaji wa Mungu na Theory of Evolution

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,410
3,376
Nilikuwa napitia theory of evolution kwa mujibu wa Lamark.

Kwa mujibu wa Bwana Lamark wa evolution mazingira yana influence kwenye muonekano wa nje wa kiumbe.

Wakati mazingira yakiwa na influence kwenye Phenotypic change or characteristics hizi characteristics are not genetics so they can't be inherited.

Sasa kama Mungu alimuumba Adamu na Hawa kwa race fulani (pure bleed) let say weupe then hawa weusi wametokea wapi?

Na tukisema ni influence ya mazingiri kuwabadilisha kuwa weusi, hizi tabia haziwezi kurithishwa kwa sababu sio za asili. Je, kwa nini hawa watu wa races tofauti wapo kama wazazi wao walikuwa pure bleed?
 
Kuna vitu majibu yake huwezi kuyapata toka Kwa wanadamu.

Allah ana majibu hayo....

"Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari."

49:13
 
Nilikuwa napitia theory of evolution kwa mujibu wa Lamark.

Kwa mujibu wa Bwana Lamark wa evolution mazingira yana influence kwenye muonekano wa nje wa kiumbe.

Wakati mazingira yakiwa na influence kwenye Phenotypic change or characteristics hizi characteristics are not genetics so they can't be inherited.

Sasa kama Mungu alimuumba Adamu na Hawa kwa race fulani (pure bleed) let say weupe then hawa weusi wametokea wapi?

Na tukisema ni influence ya mazingiri kuwabadilisha kuwa weusi, hizi tabia haziwezi kurithishwa kwa sababu sio za asili. Je, kwa nini hawa watu wa races tofauti wapo kama wazazi wao walikuwa pure bleed?
Jibu lako lipo kwenye DNA. Wanabiilogia wanakwambia more than trilioni different combinations can be made. Hivyo it possible hata kuwepo na watu wenye mikono minne kwenye dna wanasubiri perfect inviroment to be freed from DNA genetic sequence. Hasa hasa mwanadamu anagyozidi kukaa anga za majuu huko mbeleni tutakuwa kama pweza
 
Back
Top Bottom