Naomba ufafanuzi kwa hili wataalam wa football

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,637
4,521
Nimekuwa nikijiuliza siku nyingi na sipati jibu,iliwahi kunitokea siku moja nikiwa nachezesha mpira wa miguu kama referee.Ilitokea kwenye mpira wa kurusha toka nje ya uwanja,na mchezaji aliporusha mpira ulikwenda moja kwa moja wavuni bila kuguswa na mchezaji yeyote wa timu zote mbili,mimi nilikataa goli hilo na nilikuwa na sababu zangu,lakini waliofunga walipinga sana kwa kusema kuwa nimewaonea.Sasa hapo sheria za soka zinasemaje endapo hali kama hii itajitokeza?
 
Huwezi ukafunga moja kwa moja kutoka mpira wa kurushwa mpaka mtu auguse kabla haujaingia wavuni...
 
Haya mkuu ila nimeshindwa kuisoma through mobile
ni pdf inaelezea jinsi kona inavyopatikana na jinsi ya kurusha kona, ngoja niweke hapa baadhi ya vipengele:-

  • A goal cannot be scored directly from a throw-in.
  • There is no offside offence if a player receives the ball
    directly from a throw-in.
  • The thrower may not touch the ball again until it has
    touched another player.
  • The ball is in play immediately after it enters the field of play.
  • All opponents must stand no less than 2 meters from the point at which the throw-in is taken.
WHEN THROWING THE BALL THE PLAYER
  • Faces the field of play.
  • Has part of each foot either on the touchline or on the
    ground outside the touchline.
  • Uses both hands.
  • Delivers the ball from behind and over his head.
 
thanks mkuu!
 
thanks mkuu
 
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi,maana mi niliwaambia kuwa mchezaji aliyerusha mpira alikuwa nje ya uwanja hivyo hawezi kufunga goli akiwa nje,na hapohapo mfungaji ametumia mikono wakati ule ni mpira wa miguu ndio zilikuwa sababu zangu za kukataa goli hilo japo sikuwa na ufafanuzi wa kitaalamu kama ulioutoa...
 
Hilo cio goli, kama refa, ungelitaa ukaamru urushwe tena, vingnevyo kama ulibabaika ulitakiwa uchemshwe kdg, ikibidi ulazwe japo wiki 3 akili ikusogee.
 
Back
Top Bottom