Naomba tupeane msaada wa mawazo wadau

Super human

JF-Expert Member
Feb 26, 2015
1,138
732
Natumai wote mko poa,

Kuna jambo nimeobserve kwa wasichana kama watatu hivi naombeni na nyie mchango wenu. Unamtongoza mdada kipindi ambacho yeye ameonyesha sign kua anakupenda na unakuta somehow ni mrembo mwanzoni unakua mpo kawaida, hujaamua kumuonesha una atention nae mnakaa mara anaanza kulalama mara hunijali na nini na nini, sasa ukajiloga ukajionyesha unampenda basi ndo mashauzi mwanzo mwisho mara umpigie asipokee, mara akujibu dry.

Mwisho wa siku unaona isiwe shida unaachana nae, alafu badae kanaanza kujigonga gonga tena ishanitokea kwa wadada wa3 hivi mwingine alilolewa saivi hua anaugua pressure kisa mwanaume anamnyanyasa. Sasa hua nashindwa kutafakari hivi tatzo ni mimi au ni nini? Samahanini kwa maelezo mengi ila naamini mtanisaidia ndugu zangu by now nipo 27 nahis ni muda wa kujpanga nikikaa sawa nioe.

Nipo serious wenye mizaha muiache tu hii post nawaomba
 
Kosa kubwa ambalo unaweza kulifanya ni kumtongoza mtu uliye zoeana naye kama rafiki. Inawezekana lakini ni ngumu. Kama una nia ya kumtokea msichana, usisubiri hadi uzoeani naye weeee ndo umtokee. So once ukimuona binti unayempenda, tongoza just straight forward. Unavyojenga mazoea na msichana hadi mnakuwa marafiki bila kuchomeka wasichana wana kudharau. Wanakuona domo zege mwenye matatizo.

Pengine hujui kutongoza. Kama unataka nikufundishe jinsi ya kutongoza ni PM
 
With women you're supposed to be a sniper.
Translation: Study your target very well, calculate every move, aim and take your time, and finally take a shot only when you're 100% clear you will execute.
 
Natumai wote mko poa,

Kuna jambo nimeobserve kwa wasichana kama watatu hivi naombeni na nyie mchango wenu. Unamtongoza mdada kipindi ambacho yeye ameonyesha sign kua anakupenda na unakuta somehow ni mrembo mwanzoni unakua mpo kawaida, hujaamua kumuonesha una atention nae mnakaa mara anaanza kulalama mara hunijali na nini na nini, sasa ukajiloga ukajionyesha unampenda basi ndo mashauzi mwanzo mwisho mara umpigie asipokee, mara akujibu dry.

Mwisho wa siku unaona isiwe shida unaachana nae, alafu badae kanaanza kujigonga gonga tena ishanitokea kwa wadada wa3 hivi mwingine alilolewa saivi hua anaugua pressure kisa mwanaume anamnyanyasa. Sasa hua nashindwa kutafakari hivi tatzo ni mimi au ni nini? Samahanini kwa maelezo mengi ila naamini mtanisaidia ndugu zangu by now nipo 27 nahis ni muda wa kujpanga nikikaa sawa nioe.

Nipo serious wenye mizaha muiache tu hii post nawaomba

Mkuu, hizo red hizo weka vizuri kama umesoma hizo comments hapo juu utagundua umewachanganya watu kwa namna fulani.
- unamtongoza mdada kipindi ambacho anaonesha kukupenda
- mwanzoni mnakua kawaida
- hujaamua kumuonesha unaattention nae mara anaanza ............

umeongea vitu vitatu tofauti hapo, ambavyo wanaume wanaweza kufanya kwa mwanamke, cha kwanza ndio hicho unamtongoza mwanamke ambaye anaonesha kabisa ana kupenda, lakini ukimtongoza ana kuzingua - sababu,

- wanawake hupendwa kutongozwa hata kama hakutaki, anapotongozwa hujisikia vizuri /fahari fulani hivi, na ikitokea mwanamke anapita muda mrefu hajatongozwa sio siri hawa viumbe hujisikia vibaya na kuhisi kama vile wana kasoro, hasa pale ambapo yeye hatongozwi zen marafiki zake wanasumbuliwa kila siku, hapa ukimtongoza atajihisi vizuri tu lakini application yako haitakubaliwa, labda awe changu au mwenye tabia ya kupenda kulala na kila mwanaume, - lakini kumbuka sio wote watakataa wapo wengine kweli anakupenda na atakukubalia ombi lako.

- Pia hawa viumbe wakati mwingine anakuwa tayari yupo ktk mahusiano ila anapokutana na wewe na anahisi kukupenda, lakini anashindwa kuvunja mahusiano yake hivyo ndo hapo ukimtongoza anakataa but she shows all signs that she real love you, (hii ni kwa wachache sana wale ambao wanajitambua, maana hawezi kumuacha mpenzi wake pasipo sababu yoyote / kumkatili kwa usaliti. - Japo inaweza kuwa Mungu anamuonesha kuwa huyo uliyenaye sio wako na huyu ndiye niliyekupa, sasa hayo ni huko huko itajulikana. Sio kila unapokuwa na mpenzi wako zen akatokea mwingine unahisi kumpenda ukadhani huyu kwanza pengine sio sahihi, no sometime huwa ni shetani tu na majaribu yake.

"Kupenda utapenda wengi tu" ndio maana inabidi ujisimamie tu, sio kila utakayehisi kumpenda akikufuata we twende tu.

Hayo mambo mengine mawili hapo juu yadadavue mwenyewe, hayo ya kawaida tu yanaeleweka. Ila ktk hao watatu wako ni bahati mbaya tu ilikutokea ukakutana na wanawake wa hivyo tu, endelea kutafuta tu wengine wataonesha kukupenda na ukiwatongoza hawatakataa ila akili kichwani, unless otherwise utabinuliwa kichwa chini miguu juu.
 
Kosa kubwa ambalo unaweza kulifanya ni kumtongoza mtu uliye zoeana naye kama rafiki. Inawezekana lakini ni ngumu. Kama una nia ya kumtokea msichana, usisubiri hadi uzoeani naye weeee ndo umtokee. So once ukimuona binti unayempenda, tongoza just straight forward. Unavyojenga mazoea na msichana hadi mnakuwa marafiki bila kuchomeka wasichana wana kudharau. Wanakuona domo zege mwenye matatizo.

Pengine hujui kutongoza. Kama unataka nikufundishe jinsi ya kutongoza ni PM

kutongoza ni fashion ya miaka ya 70.
siku hizi walet ndo inaongea,siyo mdomo
 
Mkuu, hizo red hizo weka vizuri kama umesoma hizo comments hapo juu utagundua umewachanganya watu kwa namna fulani.
- unamtongoza mdada kipindi ambacho anaonesha kukupenda
- mwanzoni mnakua kawaida
- hujaamua kumuonesha unaattention nae mara anaanza ............

umeongea vitu vitatu tofauti hapo, ambavyo wanaume wanaweza kufanya kwa mwanamke, cha kwanza ndio hicho unamtongoza mwanamke ambaye anaonesha kabisa ana kupenda, lakini ukimtongoza ana kuzingua - sababu,

- wanawake hupendwa kutongozwa hata kama hakutaki, anapotongozwa hujisikia vizuri /fahari fulani hivi, na ikitokea mwanamke anapita muda mrefu hajatongozwa sio siri hawa viumbe hujisikia vibaya na kuhisi kama vile wana kasoro, hasa pale ambapo yeye hatongozwi zen marafiki zake wanasumbuliwa kila siku, hapa ukimtongoza atajihisi vizuri tu lakini application yako haitakubaliwa, labda awe changu au mwenye tabia ya kupenda kulala na kila mwanaume, - lakini kumbuka sio wote watakataa wapo wengine kweli anakupenda na atakukubalia ombi lako.

- Pia hawa viumbe wakati mwingine anakuwa tayari yupo ktk mahusiano ila anapokutana na wewe na anahisi kukupenda, lakini anashindwa kuvunja mahusiano yake hivyo ndo hapo ukimtongoza anakataa but she shows all signs that she real love you, (hii ni kwa wachache sana wale ambao wanajitambua, maana hawezi kumuacha mpenzi wake pasipo sababu yoyote / kumkatili kwa usaliti. - Japo inaweza kuwa Mungu anamuonesha kuwa huyo uliyenaye sio wako na huyu ndiye niliyekupa, sasa hayo ni huko huko itajulikana. Sio kila unapokuwa na mpenzi wako zen akatokea mwingine unahisi kumpenda ukadhani huyu kwanza pengine sio sahihi, no sometime huwa ni shetani tu na majaribu yake.

"Kupenda utapenda wengi tu" ndio maana inabidi ujisimamie tu, sio kila utakayehisi kumpenda akikufuata we twende tu.

Hayo mambo mengine mawili hapo juu yadadavue mwenyewe, hayo ya kawaida tu yanaeleweka. Ila ktk hao watatu wako ni bahati mbaya tu ilikutokea ukakutana na wanawake wa hivyo tu, endelea kutafuta tu wengine wataonesha kukupenda na ukiwatongoza hawatakataa ila akili kichwani, unless otherwise utabinuliwa kichwa chini miguu juu.

kiongoz nimekuelewa hua tunaanza uhusiano kabsa lkn ukionyesha unamjal, unampenda ndo sarakas zinaanzia hapo, utashangaa dharau, majbu ya hovyo n.k wanapata vichwa na kujiona cpumui kwao
 
Hii sasa ni aina nyingine ya mambozi ya hawa viumbe ktk uhusiano, ndio wapo na wengi huwa hivyo zaidi pale anapokuwa na jamaa mwingine tena mwenye kutema zaidi yako, wengine ni tabia zao tu, wengine labda hakupendi hivyo basi tu, yani ndio hivyo hivyo tuuuu
 
sawa mkuu sasa nimegundua dawa ni kujiepusha nao tu na kukomalia mambo mengne ya maana kwenye maisha
 
Back
Top Bottom