Naomba tufikirie kidogo na tupeane miongozo

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,556
2,999
Seriikali ni taasisi moja ya sifa ya Taasisi huongozwa kwa mfumo Rasmi (bureucracy} baadhi ya sifa au kiini cha BUREUCRACY ni sheria na kanuni, kuajiri kwa kufata sifa na kuwepo kwa mfumo wa vyeo{hierarchical system} sifa hizi zinaipa taasisi nguvu ya kutokuwa na mfumo wa mazoea ambao ni INFORMAL STRUCTURE japo inakuwa ngumu kudhibiti aina hii ya mfumo kutokana na asili ya binadamu ila bado mfumo sahihi na unaotumika sana ni FORMAL STRUCTURE ambayo ipo related na BUREUICRACY.

Waajiri wengi hutumia mfumo RASMI kwenye kuachisha au kusitisha ajira ya mtu ,binafsi naweza kuhamisha mind hii ya kuachisha watu kazi hovyo au kusimamisha{serikalini} badala yake kudeal na mifumo inayopelekea mtu kushindwa kutekeleza wajibu wake huenda sisi tumezoea mifumo mengine lakini tukitumia mfumo fulani wa kuongoza tunashindwa kutimiza lengo labda kwa mfano Waziri wa Ujenzi na usafirishaji yupo pale kwa lengo la kusimamia sheria na utaratibu wa maji na usafirishaji lakini inatokea mkurugenzi anashindwa kutimiza wajibu wake labda sababu kubwa ni sheria,utaratibu au mazingira yamekuwa magumu kwake kutimiza wajibu wake utakuja klushangaa kesho amesimamishwa kazi hichi kitu kipo wrong sana katika nchi zetu na kina athiri kwa upande fulani why tusibadili mfumo na tukaendelea na maisha mengine?
 
Back
Top Bottom