Naomba tafsiri ya sura hii kwa Wana Israel Kisha tukakurudishieni nguvu zenu dhidi yao

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,210
4,706
Wadau na Wanzazuoni wote.

Nimeweka nukuu kutoka sura 17 ya Quran tukufu:

17:2 - Na tukampa Musa Kitabu, na tukakifanya uwongofu kwa Wana wa Israili. (Tukawambia): Msiwe na mtegemewa ila Mimi!

17:5 - Basi itapo fika ahadi ya kwanza yake tutakupelekeeni waja wetu wa kali kwa vita. Watakuingilieni ndani ya majumba. Na hii ilikuwa ahadi iliyo timizwa.

17:6 - Kisha tukakurudishieni nguvu zenu dhidi yao, na tukakusaidieni kwa mali na wana, na tukakujaalieni mkawa wengi zaidi.

Karibuni tujadili
 
Quran haijadiliwi baina ya muislam n mkiristo asiejitambuwa mwisho wa siku hafahamu kitu
 
na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.

KAMA MAANDIKO HAYA BIBILIA WAKIRISTO MNAYAKATAA MTAIKUBALI QURAN?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom