Naomba mwenye kufahamu historia ya sherehe za mei mosi anisaidie

nkomelo

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
216
44
Wakuu,naomba mwana JF anae fahamu historia ya siku ya wafanyakazi duniani (labour day) ambayo husherehekewa tarehe 1 mei kila mwaka anifahamishe.
Asanteni
 
Back
Top Bottom