J jumalesso Member Jul 5, 2008 83 8 Feb 24, 2011 #2 Huna tatizo ndugu madhali wakati wa shughuli unawajibika ipasavyo. Ridhika na ulichonacho usitafute matatizo Mkuu
Huna tatizo ndugu madhali wakati wa shughuli unawajibika ipasavyo. Ridhika na ulichonacho usitafute matatizo Mkuu
Rodcones JF-Expert Member Oct 16, 2007 402 49 Feb 24, 2011 #3 Kijana lizika na ulicho nacho kusinyaa ni kawaida kabisa au unataka usimame kama mti masaa 24/7?
G GodHaveMercy Member Apr 25, 2010 35 2 Feb 24, 2011 #4 achana na hayo mambo rafiki, kama unadinda wakati wa kusex, inatosha. Unataka Mungu akupe nini zaidi?
achana na hayo mambo rafiki, kama unadinda wakati wa kusex, inatosha. Unataka Mungu akupe nini zaidi?
E eltontz JF-Expert Member Jul 31, 2009 886 438 Feb 24, 2011 #5 Kusinyaa kawaida, hata mimi ninakuwa hivo. Ila nimeridhika. Flaccid state linasinyaa, erection kama mti, poa tu mbona.
Kusinyaa kawaida, hata mimi ninakuwa hivo. Ila nimeridhika. Flaccid state linasinyaa, erection kama mti, poa tu mbona.