Hungiro jr
New Member
- Mar 25, 2024
- 3
- 3
Jaman habari Wana Jamii,
Kwakweli naombeni msaada wenu nimesoma Procurement and Logistics management nilimalza tangu mwaka 2020 sasa Kila nikiomba kazi sipati kabisa wala hata kuitwa kwenye interview hapana kadri siku zinavyozid kwenda ndivyo na Hali yangu ya kimaisha inazidi kuwa Tete kabisa nashindwa nifanye nn ili kujikwamua katika hili.
Naomben msaada hata kwa ambaye ana connection ya kazi hiyo,lakn pia nina leseni ya udereva na cheti cha udereva pia nnacho, ninaomba msaada wenu ndugu zangu niko kwenye wakt mgumu mnoo.