Naomba msaada natamani kuwa mjasiriamali.

ladypeace

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
935
506
Habari za usiku huu ndugu zangu!
Mimi ni mdada ambae maisha yangu yote natamani kuwa mjasiriamali ila sina idea ya biashara wala mtaji .
Kushindwa kutimiza ndoto zangu kunaniumiza sana .
Naomba msaada wenu.
 
Naogopa kukuita mjasiliamali na unatamani kuwa mjasilimali maana unasema huna idea na wala mtaji, anayetaka kuwa mjasiliamali lazima awe na idea mtaji ndio unaweza kuwa kikwazo lakini wewe unataka usaidiwe vyote no way.
 
mkuu nyabaheta, salute kwako mkuu !nadhani nimeongozwa na mungu kuweka shida yangu hapa asante sana na mungu akubaliki.
 
maswitule na Joypeace, ni kweli siwalaumu najua ningumu kunielewa ila ndo hivo sina sababu ya kuficha tatizo langu.
 
Kama huna hata idea ya biashara ni ngumu kukusaidia kwan idea zina vary kulingana na biashara aitakayo mtu so mda mwingine tafuta idea ndo utafute ushaur okey dada"
 
Habari za usiku huu ndugu zangu!
Mimi ni mdada ambae maisha yangu yote natamani kuwa mjasiriamali ila sina idea ya biashara wala mtaji .
Kushindwa kutimiza ndoto zangu kunaniumiza sana .
Naomba msaada wenu.

Mmmmh yan hata idea huna then unataka kuwa mjasiliamali?,sifa za mjasiliamali wazijua?,.nakushaur soma soma sifa za enterpreneur huku ukichunguza opportunities zilizopo ktk mazingira yako hapo then ndo uje na idea ili watu wajue wap waanzie kukushaur
 
maswitule na Joypeace, ni kweli siwalaumu najua ningumu kunielewa ila ndo hivo sina sababu ya kuficha tatizo langu.

IF YOU ARE SERIOUS,
nicheki 0656 560 264 tuwe business partners ujifunze ideas toka kwangu na kwingineko, ila zinataka moyo sio lelema ila ukishaweka tengeneza channel sasa unaanza kuinjoi kwa raha zako,
Karibu sana!!
THEDEALER
 
1 - Tafuta ujue maana ya ujasiliamali, sifa za mjasiliamali, changamoto katika ujasiliamali na faida za ujasiliamali.
2 - Jifunze kupitia wajasiliamali waliopo eneo ulipo kwa wale wanayofanya, huenda ukapata mawazo (ideas) mazuri yakufanya.
3 - Tambua ndoto ni nini? jinsi gani ya kutimiza ndoto kiujasiliamali, kwa nini watu hushindwa kutimiza ndoto, nini madhala ya kutotimiza ndoto zako.
4 - Chukua hatua. Shida, matatizo, ugumu ndio kipimo cha akili. yashinde majaribu, faulu mitihani. ukiwa na nia kwa lolote utafanikiwa.
5 - Kama ni mtaji ndo unaokukwamisha kutimiza ndoto zako, kaa chini ujipange pa kuanzia ili kuweza kufikia unapotaka kufika. Usiwe na haraka ya kutimiza ndoto mda mfupi au kupata mtaji mkubwa wa biashara kwa wakati mmoja. Anza na biashara ndogondogo ambazo hazihitaji mtaji mkubwa kisha dunduliza mtaji ili ukiwa mkubwa ufanye biashara nyingine kubwa zaidi ya ile ya mwazo kisha dunduliza mtaji then ukiwa mkubwa fanya nyingine kubwa zaidi ya ile ya mwazo na uendelee na utaratibu huo huo. Ni kama unapotaka kuwa mtu wa kwanza darasani wakati wewe upo nafasi ya kumi, inakubidi uanze kumshinda wa tisa , uje wa nane hadi wa kwanza na si kuanza kufikiria kumshinda wa kwanza wakati kuna wengine wamekuzidi.

WAZO: tafuta kiasi kido cha fedha, anza na biashara za kuuza vitafunwa asubuhi na jioni kwani biashara hizi haziitaji mitaji mikubwa. Kisha unaweza kumtafuta binti au kijana awe anasimia hizo biashara yako ya vitafunwa kisha wewe ukafungua biashara ya kuuza samaki wa kukaanga mtaji utakapokua, kisha ukaja kufungua mama lishe, kisha nyingine kisha nyingine, kisha nyingine hadi ukaja kutimiza ndoto zako.
 
Habari mdada hongera kwa kutaka kuwa mjasiriamali ingawaje sijakuelewa unamaanisha nini unataka au ulikuwa unataka? ila acha nikushauri kidogo kuna watu wanajishughulisha na kuwapa utaalamu, yani masomo watu wanaotaka kuwa wajasiriamali, silkiliza sana redio praise power siku za j3 mpaka jmosi wanatoa dondoo za ujasiriamali ukisikiliza zitakubadilisha na kuwa vile utakavyo, au nenda kwenye warsha za ujasiriamali zitakusaidia nawe utatoka tu, ama kwa wale waliokushauri kusoma hizo link walizotoa we zisome usichoke kwani mjasiliamali huwaga hachoki ni mtu anayejifunza kila wakati, mm ni mjasiriamali nilikuwa na idea kisha nikafuata maelekezo ya waatalamu na sasa namshukuru Mungu niko hatua ingine kidogo na kila wakati najifunza vitu vipya vinavyotokea kwangu, hivyo usikate tamaa ipo siku utakuwa vile utakavyo, TAMANI KUJIFUNZA VIPYA
Habari za usiku huu ndugu zangu!
Mimi ni mdada ambae maisha yangu yote natamani kuwa mjasiriamali ila sina idea ya biashara wala mtaji .
Kushindwa kutimiza ndoto zangu kunaniumiza sana .
Naomba msaada wenu.
 
Hapo utamufungua macho huyo kama kweli yuko serious na ujasiriamali
if you are serious,
nicheki 0656 560 264 tuwe business partners ujifunze ideas toka kwangu na kwingineko, ila zinataka moyo sio lelema ila ukishaweka tengeneza channel sasa unaanza kuinjoi kwa raha zako,
karibu sana!!
Thedealer
 
Habari mdada hongera kwa kutaka kuwa mjasiriamali ingawaje sijakuelewa unamaanisha nini unataka au ulikuwa unataka? ila acha nikushauri kidogo kuna watu wanajishughulisha na kuwapa utaalamu, yani masomo watu wanaotaka kuwa wajasiriamali, silkiliza sana redio praise power siku za j3 mpaka jmosi wanatoa dondoo za ujasiriamali ukisikiliza zitakubadilisha na kuwa vile utakavyo, au nenda kwenye warsha za ujasiriamali zitakusaidia nawe utatoka tu, ama kwa wale waliokushauri kusoma hizo link walizotoa we zisome usichoke kwani mjasiliamali huwaga hachoki ni mtu anayejifunza kila wakati, mm ni mjasiriamali nilikuwa na idea kisha nikafuata maelekezo ya waatalamu na sasa namshukuru Mungu niko hatua ingine kidogo na kila wakati najifunza vitu vipya vinavyotokea kwangu, hivyo usikate tamaa ipo siku utakuwa vile utakavyo, TAMANI KUJIFUNZA VIPYA

nimeipenda sana
 
Hapo utamufungua macho huyo kama kweli yuko serious na ujasiriamali

hofu yangu ni yeye kuogopa......sababu mjasiriamali ana sifa ya kuona pesa ambazo mtu wa kawaida hawezi ona, sasa katika hali kama hii kama yeye hana jicho la ujasiriamali ndio kukata tamaa inakoanzia hapo.

Kwa mfano mdogo tu:
wajasiriamali jasiri wanaamini kuwa ili uwe safe katika ujasiriamali wako pamoja na kupunguza ushindani toka kwa same game players sharti u-beat zile challenges ambazo ni threat to many. Just assume kampuni ya bima inavyoweza kukuwekea bima kwenye mali yako ambayo inakuwa mikononi mwako, mfano usafirishaji, nyumba, nk nk.........in real sense not anybody can explain this vividly, lakini this can exemplary ujasiriamali. Ndio kusema jicho la ujasiriamali huona pesa sehemu ambapo not everybody anaweza kuona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom