Naomba msaada kuhusu biashara ya kuuza na Kubadilisha gesi

Ok minimum uwe namitungimikubwa 11.0 midogo 11.0 unaitajikuwa na leseni yan yabiashara 2)firevcertificate inategemea naukubwa wa sehemy yako. 3uwe na mzani wakupimia ili mteja akijisikiakupima uzito unampimia,,vingine uwe na pipe ambayo mt r 40 inauzwa alfu 60, uwe na regulator ,na zaidi ya yote uwe nahofuyamungu akupe muuzaji mwaminifu kaka hii nimuhimu zaidi ya yote,,....mitungi iko ainanyingi ilainayonunulika kwabiajshara zahme no oryx na mihan.... Siana cont za mneya aka manager wa huko ila chukua hizi kamawana branch watakujulisha hawa huwananletea mzigo,,,,oryx cont 0656 6 52 111 or 656521584. Mihan cnt 0718 589819 mungu akufanikishe
 
Mkuu ni,esahau fire ext ya kg 6 akikisha unaiifanyia seerv yrly
 
MKUBWA unauzwa 43500 kuuza 51,000 MDOGO 18.000 kuuzwa 22,000 profit unatoamwemyewe MPAA Luna regulator 18,000 unanunua 12,000 kwenye pipes MTR 40 ya 60,000 unapata 140,000 Mungu akupe takolachawa??
Asante sana Pdidy , minimum capital ya hii biashara kwa kuanzia ili uwe na vitu vyote vya msingi mteja akija asikose kitu
 
Last edited by a moderator:
Anza na oryx tupu mtaji ukikua weka mihani sababu ndio inanunulika zaidi kuanzia mikubwa wahi wakonapunguzo 11 *98,000. Na midogo 45,000* qqq. Sorry 11 jumlisha ,then leseni 80,000 mtungi wa fire ext 75,000 kg 6, ccertf ya fire laki 1 tu,,,mzani alfu 60,000 pipe mtr 40 alf 60. Chakufanya kuna zakubania pipe ili upatefaida unakata mtr 1.5 na kakubania unampa viwili kwa 8000,,hizi zakubania ni sh 200@....kingine usikubali tra akiusogelee ni vatless tenapigasimuyangu ama nipm ntakuja hatakama shyinyanga,,,.,..jitahidi uwena vinavyotakiwa wanausmbufu mno
 
Unapopata faida wekakwenye kibubu kwa oryx 52,000-43,500 na ndogo 22,000-18.000. Fanya research ukiona wenzio wanauza same kupunguza alfu nq kumaliza mzigo tofauti na kujaza mzigo mpaka mwezi,,,mi nimewapa wenye pikpik kila anaenletea mteja nampa buku so huwa wanashangaa ninqmqlizaje mzigo...nilipojua wenzangu wanquza kadhaa nikqpunguzq na bado nikawapa bodaboda buku kila wanapoleta mteja na namshukiru mungu watoroto kupata chookikubwa sio ombi ni amri
 
Ok minimum uwe namitungimikubwa 11.0 midogo 11.0 unaitajikuwa na leseni yan yabiashara 2)firevcertificate inategemea naukubwa wa sehemy yako. 3uwe na mzani wakupimia ili mteja akijisikiakupima uzito unampimia,,vingine uwe na pipe ambayo mt r 40 inauzwa alfu 60, uwe na regulator ,na zaidi ya yote uwe nahofuyamungu akupe muuzaji mwaminifu kaka hii nimuhimu zaidi ya yote,,....mitungi iko ainanyingi ilainayonunulika kwabiajshara zahme no oryx na mihan.... Siana cont za mneya aka manager wa huko ila chukua hizi kamawana branch watakujulisha hawa huwananletea mzigo,,,,oryx cont 0656 6 52 111 or 656521584. Mihan cnt 0718 589819 mungu akufanikishe

Inagharim kiasi gani kama mtaji?
 
You have a heart to help. Wengine, ungesikia njoo pm tuongee.
 
Unapopata faida wekakwenye kibubu kwa oryx 52,000-43,500 na ndogo 22,000-18.000. Fanya research ukiona wenzio wanauza same kupunguza alfu nq kumaliza mzigo tofauti na kujaza mzigo mpaka mwezi,,,mi nimewapa wenye pikpik kila anaenletea mteja nampa buku so huwa wanashangaa ninqmqlizaje mzigo...nilipojua wenzangu wanquza kadhaa nikqpunguzq na bado nikawapa bodaboda buku kila wanapoleta mteja na namshukiru mungu watoroto kupata chookikubwa sio ombi ni amri

Kama mchaga alipo amua, kutoa rambo ya bure, wateja wakamiminika...............
 
Ok minimum uwe namitungimikubwa 11.0 midogo 11.0 unaitajikuwa na leseni yan yabiashara 2)firevcertificate inategemea naukubwa wa sehemy yako. 3uwe na mzani wakupimia ili mteja akijisikiakupima uzito unampimia,,vingine uwe na pipe ambayo mt r 40 inauzwa alfu 60, uwe na regulator ,na zaidi ya yote uwe nahofuyamungu akupe muuzaji mwaminifu kaka hii nimuhimu zaidi ya yote,,....mitungi iko ainanyingi ilainayonunulika kwabiajshara zahme no oryx na mihan.... Siana cont za mneya aka manager wa huko ila chukua hizi kamawana branch watakujulisha hawa huwananletea mzigo,,,,oryx cont 0656 6 52 111 or 656521584. Mihan cnt 0718 589819 mungu akufanikishe

Safi sana
Mungu akuzidishie
 
Minimum uwe na shillingi ngapi ili uweze kufanya hii business aiseee?
 
Wekajamvini hayomaujanja kwanini akupm MPwAA?? Ssebo mwenzqko huyo usijekatasimu
 
Back
Top Bottom