iron woman
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 147
- 19
jamani wadau naomba mnisaidie namna ya kupika kaukau zile zinakuwa na chumvi zinatengenezwa kwa ngano nadhani na pia huwa zinauzwa mtaani
ninachojua zinatengenezwa kwa ngano ukiweka mdomoni inakuwa na ladha ya chapati ila yenyewe inakuwa imewekwa na viungo zaidi. nadhani huwa wakishakanda wanasukuma ile manda inakuwa nyembamba then wanaweka katika shape wanayoitaka.Ndio zipi izo?