Z Ze propesa Member May 27, 2011 6 0 Jun 20, 2011 #1 Habari zenu ndugu zangu naomba mnikaribishe mdau wenu katika jamii hii. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Habari zenu ndugu zangu naomba mnikaribishe mdau wenu katika jamii hii. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Jun 20, 2011 #2 Ze propesa!! Karibu bhana jamvini..
Ubumuntu JF-Expert Member Oct 21, 2010 14,316 10,782 Jun 20, 2011 #3 Karibu mkuu! Ukipenda pia tufafanulie maana ya jina lako! Asante!