Naomba mnipokee Arusha

Me mlokole bana huko kuna majaribu
Kuna mahali umesema unapiga mvinyo kidogo na raundi ya bia mbili tatu hushindwi hapa wewe mlokole! Dah nin wasiwasi na ugeni huu.
Mchungaji Crushwise upo kondoo wa bwana huyo pande za R chuga!
 
Kuna mahali umesema unapiga mvinyo kidogo na raundi ya bia mbili tatu hushindwi hapa wewe mlokole! Dah nin wasiwasi na ugeni huu.
Mchungaji Crushwise upo kondoo wa bwana huyo pande za R chuga!
Ha ha ha ha ha kunywa lakini usilewe
 
manka, karibu sana arusha,,, any day ukijiskia kutembelea sehemu za njiro, bugaluu, nick pub and the like maeneo hayo, na sehemu za ngulelo pia, cet garden pale, unaweza kunipm tukajumuika pamoja as jf members
 
Ni2mie pm mpendwa na miye ni mlokole pia! Ucwackilze wa2 wa mataifa....lol!
 
manka, karibu sana arusha,,, any day ukijiskia kutembelea sehemu za njiro, bugaluu, nick pub and the like maeneo hayo, na sehemu za ngulelo pia, cet garden pale, unaweza kunipm tukajumuika pamoja as jf members
Owk hamna shida ari4
 
Ha ha ha Ha ha watu wa ar chuga mnanipa raha cna hata sijafika huko dats y nawapenda cnaaaa I hope sintaboreka
 
Angalia ucje ingia mkenge, umeambiwa m pm pakajimmy atakuandalia mapokezi na kukukutanisha na wana JF arusha, pia unaweza mtafuta mzee wa rula kwa pm
 
habar zanu wana jf..nimewamis cna kwa kweli
Sa me apa naenda arusha kesho ntakuwa huko kwa miezi minne kikaz sa me apa nahiyaji wanajf wawe waliopo arusha wanipe kampani km huwa mnaonana iyakuwa vzr na me nijimuike nao
Thanksw

karibu ARUSHA NIGHT PARK(a.k.a ma.ta.ko bar) pande za mianzini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom