Naomba maoni yako!

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Cjawah kupima HIV, Sasa nimempata mpenzi tulioishi nae kwa mwaka m-1. Falsafa yangu kuusu swala zima la afya ni kwamba cjapanga kupima HIV japo cyo tiketi ya mimi kuwa malaya wala cjawahi kupima. Sasa ananiambia tupime kwanza ndo tuoane. SWALI. Je, hii umaanisha kwamba hajanipenda bado na kutokua na HIV0 ndo kigezo cha yeye kunipenda? Mbona mimi nlizani mapenzi ya kweli hayana vigezo! Kwahiyo ukimpenda mtu umependa kilakitu kwanzia aongeavyo mpaka damu yake bila kujali kama ana HIV au la. Eti tucpopima ananiacha! Kweli kanipenda?
 
Sasa wewe ulitakaje? Aupende mpaka UKIMWI wako? Nendeni mkapime muwe na hakika ya afya zenu na kupanga vizuri mipango yenu ya baadaye.
 
hebu acha upu***vu wako
kapime haraka, hayo mapenzi ya kijinga ya kutopima mtakufa kama nzige.

Upendo gani huo?
 
Cjawah kupima HIV, Sasa nimempata mpenzi tulioishi nae kwa mwaka m-1. Falsafa yangu kuusu swala zima la afya ni kwamba cjapanga kupima HIV japo cyo tiketi ya mimi kuwa malaya wala cjawahi kupima. Sasa ananiambia tupime kwanza ndo tuoane. SWALI. Je, hii umaanisha kwamba hajanipenda bado na kutokua na HIV0 ndo kigezo cha yeye kunipenda? Mbona mimi nlizani mapenzi ya kweli hayana vigezo! Kwahiyo ukimpenda mtu umependa kilakitu kwanzia aongeavyo mpaka damu yake bila kujali kama ana HIV au la. Eti tucpopima ananiacha! Kweli kanipenda?

Acha longolongo Marcko nenda kapime afya. Usiongee kama mtu asiye na ufahamu na maana ya kujua afya yako hasa kwenye suala la ukimwi. Kimsingi kupima hakuna uhusiano wowote na kupenda au la.
 
Wewe acha mbwembwe, km wewe ungekua ulishapima tayari na upo swafi na huyo mpenzi wako ndo hajapima si ungemwambia apime kwanza. Tafakari chukua hatua
 
Cjawah kupima HIV, Sasa nimempata mpenzi tulioishi nae kwa mwaka m-1. Falsafa yangu kuusu swala zima la afya ni kwamba cjapanga kupima HIV japo cyo tiketi ya mimi kuwa malaya wala cjawahi kupima. Sasa ananiambia tupime kwanza ndo tuoane. SWALI. Je, hii umaanisha kwamba hajanipenda bado na kutokua na HIV0 ndo kigezo cha yeye kunipenda? Mbona mimi nlizani mapenzi ya kweli hayana vigezo! Kwahiyo ukimpenda mtu umependa kilakitu kwanzia aongeavyo mpaka damu yake bila kujali kama ana HIV au la. Eti tucpopima ananiacha! Kweli kanipenda?

Yes hicho ni kigezo cha kukupenda hasa km mnamalengo ya kuoana,na anakupenda sana ndio maana anakutaka mkazijue afya zenu ili muishi kwa amani na kupanga mambo yenu ya baadae,

Km hujiamin na una hofu,jikate ukapime kivyako ujue majibu yako,
Then km yako poa ndio muongozane wote mkapime kwa pamoja!

Ww kinachokusumbua ni hofu tu ya kupima na kupokea majibu,kitu ambacho ni cha kawaida kwa yoyote ambaye ndio mara yake ya kwanza kupima, jipange tu uende ujue moja.
 
Nenda angaza kijana
mi nilishikwa na polisi sio mchezo
 
hivi wewe mzima kweli?ulishirikisha ubongo ktk kuandika hili swala lako?hauko siriac nadhan....:cool2:
 
Cjawah kupima HIV, Sasa nimempata mpenzi tulioishi nae kwa mwaka m-1. Falsafa yangu kuusu swala zima la afya ni kwamba cjapanga kupima HIV japo cyo tiketi ya mimi kuwa malaya wala cjawahi kupima. Sasa ananiambia tupime kwanza ndo tuoane. SWALI. Je, hii umaanisha kwamba hajanipenda bado na kutokua na HIV0 ndo kigezo cha yeye kunipenda? Mbona mimi nlizani mapenzi ya kweli hayana vigezo! Kwahiyo ukimpenda mtu umependa kilakitu kwanzia aongeavyo mpaka damu yake bila kujali kama ana HIV au la. Eti tucpopima ananiacha! Kweli kanipenda?
kwaiyo wewe ulitaka akupende zaidi akuue au wewe umuue na HIV ndio utaamini kua mnapendana kwa dhati
 
Kwahiyo nikikuta anao au mimi ninao ndo basi tena! I never wanted to see the end of this journey! Alafu mimi nikiwanao ndo cntaowa? Au ntatafuta mwenye nao kama kwakutangaza adharani?!
 
Niliendaga kupima wakat nangojea majibu nikazimia!
mbona hata TB,MALARIA vinauwa, HIV kitugan banaa kapimen hata MALARIA itasaidia kidogo.
 
huyo anakupenda kwa dhati, usimuache kaka. we kapime ili mambo mengine yaendelee.
 
Mkapime nini tena? Mwaka m1 ulikuwa unaishi nae ki-vipi? Kama falsafa yako ni kutopima HIV, ina maana sometimes hata segele kavukavu kwako ni poa tu. Sasa kama mwaka mzima uko na huyo best usitudanganye kwamba hamjapiga pekupeku. Mwambie best afumbe macho tu msubiri matokeo. Kama hakuelewi pm namba hii.
 
Acha uoga kapime we unajuaje yeye ndio atakua nao halafu we fresh, inaonyesha wewe kicheche sana.
 
Yes hicho ni kigezo cha kukupenda hasa km mnamalengo ya kuoana,na anakupenda sana ndio maana anakutaka mkazijue afya zenu ili muishi kwa amani na kupanga mambo yenu ya baadae,

Km hujiamin na una hofu,jikate ukapime kivyako ujue majibu yako,
Then km yako poa ndio muongozane wote mkapime kwa pamoja!

Ww kinachokusumbua ni hofu tu ya kupima na kupokea majibu,kitu ambacho ni cha kawaida kwa yoyote ambaye ndio mara yake ya kwanza kupima, jipange tu uende ujue moja.
Mwambie acheki bp kwanza...
 
Back
Top Bottom